UKIWA NDANI YA JIJI LUOYANG NCHINI CHINA UWEZI KUKIKWEPA KITOWEO HIKI
Hapa jamaa akiwafungua Mbwa kamba baada ya kuwanyonga tayari kwa kitoweo
Hapa Mbwa wamesha katwa shingo wakisubiri kuchunwa ngoziWamechunwa na kuwekwa kwenye mifuko tayari kwa kusambaza kwenye mahotel na migahawa, ukiwa ndani china usichunguze nyama unayo kula maana usije kujuta kuingia ndani ya nchi ya China kwaiyo wewe songa tu na maisha kiroho safi.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
Mbwa kitoweo murua China
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TohmGVP9fmw/U_WOgokRBXI/AAAAAAAAOr0/VDH683H_ATQ/s72-c/10543767_10154465435980247_451240911_n.jpg)
Cheif wa Swahilivilla blog akutana na Mtaalamu wa Vichekesho Hussein China ndani ya Jiji la Da
![](http://1.bp.blogspot.com/-TohmGVP9fmw/U_WOgokRBXI/AAAAAAAAOr0/VDH683H_ATQ/s1600/10543767_10154465435980247_451240911_n.jpg)
9 years ago
MichuziUJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
China ni haramu kuhifadhi mayai ukiwa hujaolewa
9 years ago
Dewji Blog05 Jan
Ujumbe wa Ubalozi wa China nchini wamtembelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi wakubaliana kuimarisha ushirikiano
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu Youqing , akisaini kitabu cha wageni mara baadaya kuwasili katika Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia), ofisini kwake alipowasili Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa ziara fupi.
Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto). Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi...
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI ZA MJI WA MOSHI UKIWA KWENYE MAANDALIZI YA KUWA JIJI
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki..
Kwa kipindi kirefu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hajawa kwenye uhusiano mzuri na nchi za Ulaya na Marekani… upande wa pili Rais huyo amekuwa rafiki mkubwa sana na nchi ya China, na ndiko misaada mingi inakotokea kuingia Zimbabwe. Vichwa vya habari za kimataifa kwenye mitandao mikubwa vimeandika kwamba huenda Zimbabwe wakahalalisha pesa ya China ianze […]
The post Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki.. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo Movies27 Dec
Picha:Hiki Ndicho Alichokifanya Diamond Ndani ya Dar Live
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alifanya shoo baab’kubwa usiku wa kuamkia jana kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Na hizi ni baadahi ya picha za shoo hiyo.