Mbwa kitoweo murua China
Jamii ya Wachina husherekea sikukuu kila mwaka.Sherehe hizo huenda sambamba na ulaji wa vyakula mbalimbali vya asili ikiwemo Mbwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo30 Apr
UKIWA NDANI YA JIJI LUOYANG NCHINI CHINA UWEZI KUKIKWEPA KITOWEO HIKI
Hapa jamaa akiwafungua Mbwa kamba baada ya kuwanyonga tayari kwa kitoweo
Hapa Mbwa wamesha katwa shingo wakisubiri kuchunwa ngozi
Wamechunwa na kuwekwa kwenye mifuko tayari kwa kusambaza kwenye mahotel na migahawa, ukiwa ndani china usichunguze nyama unayo kula maana usije kujuta kuingia ndani ya nchi ya China kwaiyo wewe songa tu na maisha kiroho safi.
5 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mji wa Shenzhen nchini China waweka marufuku ya ulaji wa paka na mbwa
11 years ago
Habarileo24 May
Mbwa mwitu, watoto wa mbwa, panya road kutokomezwa
JESHI la Polisi nchini limewaagiza Makamanda wa Polisi wa Mikoa, kuhakikisha wanavidhibiti na kuvitokomeza vikundi vyote vinavyojihusisha na vitendo vya uhalifu, ikiwemo uporaji, unyang’anyi na kujeruhi watu katika maeneo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi25 May
Tuwadhibiti panya road, mbwa mwitu, watoto wa mbwa
11 years ago
Michuzi9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Auawa kwa kula kitoweo cha nyama India
5 years ago
BBCSwahili21 Feb
Nzige: Wadudu waharibifu wafanywa kuwa kitoweo Uganda na Somalia
10 years ago
Michuzi9 years ago
Dewji Blog30 Sep
REVIVALE OF ISLAMIC HARTAGE FOUNDATION: Yatoa kitoweo cha Nyama Singida
Baadhi ya waumini wa madhehebu ya dini ya kiislamu wa mjini Singida wakipatiwa mgao wa sadaka ya chinjo lla nyama kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Haji ambapo jumla ya watu 16,104 walinufaika na sadaka hiyo ikiwa ni ya tekelezaji wa moja ya nguzo tano za dini ya kiislamu.
Na, Jumbe Ismailly
[SINGIDA] Taasisi ya Kiislamu ya Revivale of Islamic Hartage Foundation yenye makao yake makuu nchini Kuweit,Saudi Arabia imetoa msaada wa kitoweo cha nyama ya mbuzi na kondoo 2,667 wenye...