REVIVALE OF ISLAMIC HARTAGE FOUNDATION: Yatoa kitoweo cha Nyama Singida
Baadhi ya waumini wa madhehebu ya dini ya kiislamu wa mjini Singida wakipatiwa mgao wa sadaka ya chinjo lla nyama kwa ajili ya kusherehekea sikukuu ya Eid-El-Haji ambapo jumla ya watu 16,104 walinufaika na sadaka hiyo ikiwa ni ya tekelezaji wa moja ya nguzo tano za dini ya kiislamu.
Na, Jumbe Ismailly
[SINGIDA] Taasisi ya Kiislamu ya Revivale of Islamic Hartage Foundation yenye makao yake makuu nchini Kuweit,Saudi Arabia imetoa msaada wa kitoweo cha nyama ya mbuzi na kondoo 2,667 wenye...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Auawa kwa kula kitoweo cha nyama India
5 years ago
MichuziKAIMU MSAJILI BODI YA NYAMA TANZANIA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KIWANDA KIKUBWA CHA NYAMA CHA TANCHOICE
KAIMU Msajili Bodi Ya Nyama Tanzania Iman Sichalwe amefanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha nyama cha Tanchoice Soga kibaha mkoani Pwani.
Kiwanda hicho ni kikubwa Afrika Mashariki na Kati kwenye Sekta ya mifugo na kutajwa kuwa mkombozi mkubwa kwa wadau wa sekta ya nyama Nchini Ambapo kitakuwa na uwezo wa kuchinja ng'ombe 1000 na mbuzi 4500 kwa siku.
Akiwa kiwandani haoo baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho,...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.
Na Hillary Shoo,
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...
11 years ago
Saudi Press Agency11 Jul
Muslim World League, Foundation of Sheikhs and Islamic Scholars of Tanzania ...
Muslim World League, Foundation of Sheikhs and Islamic Scholars of Tanzania ...
Saudi Press Agency
Makkah, Ramadan 14, 1435, Jul 11, 2014, SPA -- The Muslim World League (MWL) and the Foundation of Sheikhs and Islamic Scholars of Tanzania (FSIST) have signed a cooperation agreement. The agreement was co-signed by MWL Secretary General ...
5 years ago
CCM BlogSINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI
Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...
5 years ago
MichuziMKURUGENZI MANISPAA YA SINGIDA AWAONDOLEA HOFU WALAJI WA NYAMA
Wafanyabiashara wa nyama Mkoa wa Singida wakiingiza kitoweo hicho katika maduka ya nyama yaliyopo Soko Kuu la Singida.Mwonekano wa maduka ya nyama Soko Kuu la Singida.Afisa Mifugo na Uvuvi Manispaa ya Singida, Adranus Kalekezi (kulia) akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Bravo Lyapembile kuhusu ukarabati wa machinjio ya nyama ya manispaa hiyo.Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida, Bravo Lyapembile akikagua ukarabati wa machinjio ya nyama ya manispaa hiyo.
Na Ismail...
11 years ago
MichuziSAFARI LAGER YATOA SOMO KWA WACHOMA NYAMA JIJINI MBEYA
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU HUDUMA ZA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA MKOANI MWANZA
9 years ago
MichuziBENKI YA NBC YATOA SOMO KUHUSU UBORA WA HUDUMA YAKE YA ISLAMIC BANKING KWA WATEJA WA MTWARA