Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki..

Kwa kipindi kirefu Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe hajawa kwenye uhusiano mzuri na nchi za Ulaya na Marekani… upande wa pili Rais huyo amekuwa rafiki mkubwa sana na nchi ya China, na ndiko misaada mingi inakotokea kuingia Zimbabwe. Vichwa vya habari za kimataifa kwenye mitandao mikubwa vimeandika kwamba huenda Zimbabwe wakahalalisha pesa ya China ianze […]

The post Pesa ya China inaruhusiwa kutumika Zimbabwe? Kilichonifikia ni hiki.. appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Unazikumbuka pesa hizi zilizopata kutumika Tanzania? Je. ulipata kuzitumia?

CILMAm7XAAANuPs

 

Pichani ni baadhi ya fedha za kitanzania zilizokuwa katika mtindo wa noti. Ambapo wakati huo thamani ya fedha hizo zilikuwa ni kubwa mno.

Na Andrew Chale, modewjiblog

Enzi za miaka ya nyuma wakati wa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere hizi zilikuwa pesa halali na zenye thamani kubwa. Leo zimebaki kuwa urembo tu hasa kwa  watu wengi majumbani mwao. Mbali na kuwa ni urembo pia wapo watu wanatumia pesa hizi kwa minajiri mbalimbali ikiwemo ushirikina hasa kwa waganga wa kienyeji...

 

10 years ago

BBC

Zimbabwe elephants flown to China

At least 20 elephants from Zimbabwe are transported to China to be settled in a game reserve, after a controversial sale.

 

10 years ago

BBC

VIDEO: China welcomes Zimbabwe's Mugabe

China has given the Zimbabwean president a warm reception on his five-day visit there.

 

10 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe yauza Tembo wake China

Tembo ishirini na wanne wadogo wamesafirishwa hadi China na kuuzwa kwa takriban dola elfu arobaini kila mmoja.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe kuuzia China wanyamapori wengi

Waziri wa mazingira Oppah Muchinguri amesema wanyamapori wengi huenda wakaangamia kutokana na kiangazi pamoja na ujangili

 

10 years ago

Vijimambo

UKIWA NDANI YA JIJI LUOYANG NCHINI CHINA UWEZI KUKIKWEPA KITOWEO HIKI



Hapa jamaa akiwafungua Mbwa kamba baada ya kuwanyonga tayari kwa kitoweo
Hapa Mbwa wamesha katwa shingo wakisubiri kuchunwa ngozi
Wamechunwa na kuwekwa kwenye mifuko tayari kwa kusambaza kwenye mahotel na migahawa, ukiwa ndani china usichunguze nyama unayo kula maana usije kujuta kuingia ndani ya nchi ya China kwaiyo wewe songa tu na maisha kiroho safi.

 

9 years ago

Mwananchi

NEC: Kalamu yoyote inaruhusiwa kupigia kura

Ili kuondoa shaka miongoni mwa wananchi kutokana na tetesi zinazosambazwa juu ya ubora wa kalamu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kila mtu anaruhusiwa kuja na kalamu yake kupigia kura Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

RAIS WA ZIMBABWE ROBERT MUGABE AWASILI JIJINI ARUSHA LEO,KUFUNGUA KONGAMANO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA

 Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbambwe,Mh.Robert Mugabe mara mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA,mapema leo mchaa.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo mjini Arusha. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo  na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA mapema leo mchana.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZIMBABWE,ROBERT MUGABE AWASILI JIJINI ARUSHA,KUFUNGUA KOGAMAO LA 3 LA VIONGOZI VIJANA WA AFRIKA NA CHINA LEO

 Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal akizungumza jambo na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA,mapema leo mchaa.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la Viongozi Vijana wa Afrika na China litakaloanza leo mjini Arusha. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo  na Rais wa Zimbabwe,Mh.Robert Mugabe mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa KIA mapema leo mchana.Rais Mugabe anatarajiwa kufungua  Kongamano la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani