Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mengi atuhumiwa kwa uhaini *Mwenyewe aibuka na kukanusha

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi, ametuhumiwa kutaka kuiangusha Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na kumshughulikia baada ya kumaliza uongozi wake Oktoba, mwaka huu.

Baada ya tuhuma hizo kuelekezwa kwake na gazeti la Taifa Imara lililochapishwa Machi 23, mwaka huu likiwa na kichwa cha habari kinachosema, ‘Zitto amchongea Mengi kwa JK? Mwenyewe ameibuka Dar es Salaam jana na kuzikanusha mbele ya waandishi wa habari akisema zimemshtua na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.

Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda  kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka  kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.

Wema  ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...

 

11 years ago

BBCSwahili

Musharraf ashitakiwa kwa uhaini Pakistan

Mahakama nchini Pakistan imemsomea mashitaka ya uhaini mtawala wa zamani wa kijeshi Pervez Musharraf

 

10 years ago

BBCSwahili

Washtakiwa Marekani kwa uhaini Gambia

Marekani imewafungulia mashitaka watu wawili kwa kuhusika na jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Gambia wiki iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mali kumchunguza rais Toure kwa uhaini

Mali imetangaza mpango wa kumchunguza Rais wa zamani wa nchi hiyo Amadou Toumani Toure kwa kosa la uhaini.

 

9 years ago

BBCSwahili

Waliopanga mechi Nepal washtakiwa kwa uhaini

Wachezaji 5 wa timu ya taifa ya Nepal wamefikishwa mahakamani katika mji mkuu wa Kathmandu kujibu mashtaka ya uhaini.

 

10 years ago

Vijimambo

Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake


Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...

 

11 years ago

GPL

TAARIFA KWA UMMA KUKANUSHA UVUMI WA KUAJIRI VIJANA 500

Kuna taarifa zimeendelea kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na maelezo kuwa:  " Serikali kupitia Shirika la Elimu Tanzania, TPDC kwa ushirikiano na kampuni za oil and gas, wanatarajia kuajiri vijana wapatao 500 katika sekta hii mpya Tanzania kuanzia mwezi Januari na Machi 2015, hivyo wameandaa crush program itakayoanza 6 Oktoba 2014.  Walengwa ni vijana wenye elimu ya form 4 na form 6 ambao watasoma kwa miezi 6 na...

 

9 years ago

Bongo5

Quick Rocka athibitisha kuwa na uhusiano na Kajala baada ya kukanusha kwa muda mrefu

Kajala na Quick2

Msanii wa Bongo fleva, Quick Rocka na muigizaji wa Bongo movie, Kajala Masanja hawakuwahi kuthibitisha wenyewe hadharani kuwa wana uhusiano wa kimapenzi licha ya kuwepo na tetesi kuwa ni wapenzi.

Kajala na Quick

Quick amejikuta akilazimika kukiri hadharani juu ya uhusiano wao alipokuwa akikanusha taarifa kuwa wameachana.

Akizungumzia sababu za kuamua kutoyaweka wazi maisha ya uhusiano wao, Quick amesema;

“Sometimes some things have to stay private maana mahusiano yanapokuwa public sana ndio maneno...

 

10 years ago

BBCSwahili

Manmohan atuhumiwa kwa ufisadi India

Waziri mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh ametuhumiwa kwa ufisadi katika kuuza migodi ya makaa ya mawe

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani