KWA NINI WENGI HAWAFANIKIWI KWA BIASHARA YA DUKA?
Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni wafanyabiashara wakubwa. Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia hasara. Utakuwa shahidi huko mtaani kwamba, kumekuwa na utitiri...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKWA NINI WATU WENGI HAWAFANIKIWI MAISHANI?- 8
11 years ago
GPLKWA NINI WATU WENGI HAWAFANIKIWI MAISHANI?
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Kwa nini wengi hulia njaa Januari?
10 years ago
Mwananchi18 Jul
UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?
10 years ago
GPLKWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4
10 years ago
GPLKWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5
10 years ago
VijimamboMBIO ZA UBUNGE MOSHI MJINI,KWA NINI ? KIJANA DAUD MRINDOKO VUTIO LA WENGI !
5 years ago
MichuziOPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria .
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo.
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...
10 years ago
GPLKWA NINI BEI YA MAFUTA KWA WALAJI HAISHUKI KWA KASI?