Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI WATU WENGI HAWAFANIKIWI MAISHANI?

MPENDWA msomaji wa makala haya, natumaini unaendelea vizuri na shughuli zako za kila siku. Kama kawaida, leo tunaendelea na shule yetu ya ujasirimali. Kwa pamoja, nataka tuangalie kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika ujasiriamali au katika maisha yao. Kuna sababu nyingi kwa nini wengi hushindwa maishani lakini sababu kuu ya msingi, huwa ni kukosa maarifa na ufahamu wa kufanya biashara au ajira katika kiwango cha juu kadiri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KWA NINI WATU WENGI HAWAFANIKIWI MAISHANI?- 8

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea vizuri na kazi ya kulisukuma mbele gurudumu la maendeleo kupitia ujasiriamali. Mada tunayoendelea kuijadili ni sababu zinazofanya watu wengi washindwe kufanikiwa. Wiki iliyopita, niliishia kueleza kwamba watu wengi hawafanikiwi kwa sababu hawawezi kuwa mabahili katika matumizi ya pesa wanazozipata. Niliishia kukupa mfano wa jinsi mimi na dada yangu tulivyokuwa na hulka tofauti za...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WENGI HAWAFANIKIWI KWA BIASHARA YA DUKA?

Wengi wamekuwa na ndoto za kufungua maduka wakiamini yanaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye mafanikio. Siyo mbaya kwani nawajua wengi tu ambao wamefanikiwa kwa kuanzisha vioski, baadaye maduka na sasa ni wafanyabiashara wakubwa. Lakini wakati baadhi wakifanikiwa kwa njia hiyo, wapo ambao wamekuwa wakifungua maduka na baada ya muda kuyafunga huku wakiwa wameambulia hasara. Utakuwa shahidi huko mtaani kwamba, kumekuwa na utitiri...

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini wengi hulia njaa Januari?

Naye Neema Alfred mkazi wa Mbeya, anasema Januari ina mahitaji makubwa ya kifedha ambayo mengine huchochewa na ndugu kuhitaji misaada ya fedha kufanikisha masuala yao ya kifedha.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI: Kwa nini wasanii wetu wengi ni watoto?

>Mambo ya kitoto, mtoto kumfanyia mtoto mwenzake, tunasema watoto wanacheza lakini mambo ya kitoto, mtu mzima kumfanyia mtu mzima mwenzake kuna walakini hapo.

 

9 years ago

Mwananchi

Watoto wanahitaji watu wa kuwaiga maishani

Nimesoma kitabu cha mmoja wa madaktari bingwa wa magonjwa ya mifumo ya neva nchini Marekani, anayeitwa Ben Carson.

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4

Tumekuwa tukiangalia tatizo la wanawake wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia jinsi tatizo hili linavyoisumbua jamii yetu pia tumejua kuwa mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa si jambo la kawaida ni tatizo linaloweza kutibika. Zifuatazo ni njia za kuondoa tatizo hilo. Wengi wanatarajia kuambiwa wameze dawa fulani ili kuondokana na tatizo hilo. Ukweli ni kwamba ili mtu kurejea katika hali ya kawaida. Kama...

 

10 years ago

GPL

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-5

Natumaini utakuwa u-mzima wa afya kabisa. Kwa wiki kama nne mfululizo tumekuwa tukiangalia juu ya tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia sababu za tatizo hilo na tukaangalia athari zake na wiki iliyopita na kujifunza njia za kutatua tatizo hilo. Kama ilivyo matatizo mengine tatizo la kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa huwakumba na wanaume vilevile ila siyo kwa kiwango kikubwa sana kama...

 

10 years ago

Vijimambo

MBIO ZA UBUNGE MOSHI MJINI,KWA NINI ? KIJANA DAUD MRINDOKO VUTIO LA WENGI !

Katika mbio za kuelekea uchaguzi mkuu 2015, katika jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro jina la kijana Daudi Babu Mrindoko (30) aka Obama wa moshi limekuwa kivutio na gemeo la wapiga kura jimboni humo,tena kivutio na gemeo la wapiga kura wote kuanzia wazee na vijana,wanawake na wanaume kuanzia chama chake cha CCM hadi vyama vingine ! jina Daudi Mrindoko ndio gumzo la wakazi wa Moshi Mjini kuelekea uchaguzi mkuu 2015 kuwa wakazi hao wamesikika na kufunguka kwa uwazi kuwa watampigia kura...

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini watu hupoteza hamu ya kujamiiana? -2

Katika utafiti uliofanyika miaka ya karibuni nchini Marekani, imebainika kwamba kati ya ndoa 6,000 zilizovunjika, asilimia 57 zimesababishwa na mwenza mmoja au wote kupenda kuchati au kutumia intaneti kupita kiasi na hivyo kusababisha msisimko kupotea kati ya wenza wawili na hatimaye mwisho ni kupungua uwezo au hamu ya kujamiana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani