Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATEJA WA DUKA LA WOOLWORTHS KUNUNUA KWA NUSU BEI PASAKA

Meneja Masoko wa maduka ya Woolworths Tanzania,Edwina Barongo akisisitiza jambo kwa wateja waliofika katika Uzinduzi wa punguzo la bei ya bidhaa zote zinazouzwa katika Maduka yote ya Woolworths yaliyopo Arusha na Dar es Salaam, Punguzo hilo litadumu kwa muda wa wiki Nne ikiwa ni sehemu ya kusherehekea sikukuu ya Pasaka.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana.Mgeni rasmi (Loyal Customer) Manfred Ngantunga (kulia) akizindua duka la Woolworths lililopo mtaa wa Ohio jengo la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

OPESHENI YA DUKA KWA DUKA YAANZA PWANI KUBAINI WAFICHA NA KUUZA SUKARI BEI JUU-WANKYO

NA MWAMVUA MWINYI PWANI .
JESHI la polisi mkoani Pwani limetangaza msako wa duka kwa duka ,kuwabaini wafanyabiashara ambao wameficha sukari na kuuza kwa bei isiyo elekezi ya sh .2,700 kwa kilo moja ,ambapo ni kinyume cha sheria . 
Kutokana na msako huo ulioanza mkoani hapo ,jeshi hilo ,limeshakamata jumla ya kilo 1,037 za sukari pamoja na watuhumiwa saba wanaodaiwa ni wafanyabiashara walioficha sukari hiyo. 
Akizungumzia tukio hilo ,kamanda wa polisi mkoani hapo ,Wankyo Nyigesa alieleza kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tigo wafungua duka huduma kwa wateja

Kampuni ya Simu za Mkononi Tigo imefungua maduka 50 nchini ili kurahishisha upatikanaji huduma kwa wateja wake.

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAZINDUA WIKI YA WATEJA KWA KUFUNGUA DUKA JIPYA DAR

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania Bw.Keith Tukei akikata utepe kuzindua duka la Vodacom la Ubungo lililopo eneo la flats za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wanaoshuhudia katikati ni Farida Yahya mteja wa kwanza kufika dukani hapo na  wa kwanza kulia ni Meneja wa duka hilo Bi.Jacqueline Twissa.Baadhi ya wafanyakazi katika duka hili wakijiandaa kuanza kupokea wateja muda mfupi baada ya kuzinduliwa rasmi leo.Wafanyakazi wa Vodashop Ubungo katika picha ya pamoja na...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Atangaza Kununua ‘Script’ Nzuri kwa Bei Yoyote

Staa wa Bongo Movies ambae ni mwigizaji na mwogozaji wa filamu,Jacob Stephen ‘JB’ amesema ukosefu wa wandishi wazuri wa script kuwa ni moja kati ya matatizo yanayoikambili tasnia ya filamu hapa Bongo, akitolea mfano wa wewe kutafuta script kwa muda sasa bila mafanikio.

“Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo kwenye tasnia ya filam ni waandishi wa script, hatuna waandishi wa kutosha, jamani mbona wasomi wa fani hii wapo, nina miezi mitano natafuta script sijapata, ukiletewa ni vituko...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Atanzaga Kununua ‘Script’ Nzuri kwa Bei Yoyote

Staa wa Bongo Movies ambae ni mwigizaji na mwogozaji wa filamu,Jacob Stephen ‘JB’ amesema ukosefu wa wandishi wazuri wa script kuwa ni moja kati ya matatizo yanayoikambili tasnia ya filamu hapa Bongo, akitolea mfano wa wewe kutafuta script kwa muda sasa bila mafanikio.

“Moja ya matatizo makubwa tuliyonayo kwenye tasnia ya filam ni waandishi wa script, hatuna waandishi wa kutosha, jamani mbona wasomi wa fani hii wapo, nina miezi mitano natafuta script sijapata, ukiletewa ni vituko...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja StarTimes kununua king’amuzi kwa shilingi 4000

Meneja Mauzo wa StarTimes Tanzania, David Kisaka (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa bei mpya ya king’amuzi kitakakochouzwa kwa shilingi 4000 sambamba na kifurushi kipya cha NYOTA cha malipo ya 4000 kwa mwezi, kulia pamoja naye ni Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo, Jacky Yu. Bei hiyo mpya ya king’amuzi na kifurushi itamfanya mteja afurahie chaneli zisizopungua 16 ikiwa 9 ni za kimataifa na 7 za nyumbani kwa muda wa miezi saba na nusu. Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA IBRALINE YATANGAZA NAULI MPYA KWA MABASI YAKE,ABIRIA SASA KULIPA NUSU BEI YA SUMATRA

Mkurugenzi wa Kampuni ya Ibraline ,Ibrahim Shayo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Moshi.


SIKU chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kutangaza punguzo la bei ya Mafuta Kampuni ya kutoa huduma ya usafirishaji wa ndani na nje ya nchi ya Ibraline imetangaza kushusha nauli kwa nusu ya bei elekezi ya SUMATRA.
Hatua hiyo inakuja wakati baadhi ya wananchi kulalamika kutokuwepo na ahueni yoyote licha ya kwamba serikali imetangaza kushusha bei ya bidhaa ya Mafuta...

 

10 years ago

BBCSwahili

Duka lawakataa wateja wa kichina

Duka moja la nguo nchini Uchina limezua mjadala baada ya kuweka maelezo yanayopiwapiga marufuku wateja wa kichina

 

10 years ago

Dewji Blog

Fastjet yatoa punguzo la bei kwa wateja wanaokwenda kuhudhuria Lohana Sports and Cultural Festival Uganda

CAPTION 1

Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akiongea na Bw. Navin Kanabar (kushoto) na Bw. Manish Rughani (katikati) ambao ni wateja wa fastjet waliopata tiketi za punguzo la bei kwenda Entebe Uganda kuhudhuria tamasha la 33 la michezo na Utamaduni lijulikanalo kama Lohana Festival, kampuni ya Fastjet  ilitoa punguzo la bei kwa kundi la wateja 150 walionunua tiketi nyingi.

CAPTION 2

Meneja wa Biashara wa Kampuni ya Fastjet Bi. Jean Uku akimkabidhi Bi. Nishita Davda tiketi ya kwenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani