Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TBS yaonya watanzania kwa vifaa vya upimaji

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetaka watanzania wanaotumia vifaa mbalimbali vya upimaji, kutoridhishwa na upya wake, bali wawasiliane nalo livihakiki usahihi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kutoa vifaa vya upimaji maradhi Wataalamu Wa Tiba Asili

 

Wataalamu wa tiba asili wameiomba Serikali kutoa usaidizi wa vifaa vya upimaji wa maradhi mbalimbali kwa lengo la kuwawezesha kutoa tiba kwa kiwango kinachokubalika.

Baadhi ya hospitali nchini zinadaiwa kuwa zimekuwa zikitoa masharti magumu kwa waganga wa tiba asili kupata vipimo kwa wagonjwa wao hali inayowafanya kujiingiza katika upigaji ramli chonganishi.

 

Wilaya ya Chato mkoani Geita iliyopo Magharibi mwa Tanzania baada ya kumtoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,umaarufu wake...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA VIFAA VYA UMEME DAR WALALAMIKIA NYAYA ZISIZO NA UBORA,WAIOMBA TBS KUFANYA MSAKO


Na Mwandishi Wetu
BAADHI ya wafanyabiashara ya kuuza vifaa vya umeme vya aina mbalimbali katika Jiji la Dar es Salaam wamelalamikia uwepo wa vifaa hivyo na hasa nyaya ambazo ziko chini ya kiwango na ubora ambazo zinatengenezwa na baadhi ya viwanda vilivyopo nchini, hivyo wametoa ombi kwa Serikali kupitia Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na tume ya ushindani (FCC) kufanya msako viwandani na madukani ili kubaini.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Kariakoo jijini Dar es Salaam,...

 

5 years ago

Michuzi

OFISI YA ARDHI MKOA WA MARA KUWEZESHWA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na halmashauri za mkoa huo  kwa lengo la kuongeza kasi ya upimaji. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana wilayani Musoma mkoa wa Mara alipokwenda kukagua ofisi mpya ya ardhi ya mkoa Mara ikiwa ni jitihada za wizara ya ardhi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi. Awali huduma za ardhi zilikuwa...

 

11 years ago

Habarileo

TBS yaonya wanaoghushi nembo yake

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeonya wanaoendelea kutumia nembo yake ya ubora kwa njia ya udanganyifu na kusema kufanya hivyo ni kuwaumiza watumiaji na kuvunja sheria ya viwango.

 

9 years ago

Habarileo

TBS yahadharisha vifaa umemejua

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limetangaza uwepo wa vipande vya umemejua visivyo na ubora katika soko la ndani. Shirika hilo limewataka watumiaji wa umemejua kuwa makini wanapoenda kununua vifaa vya kutengeneza mfumo huo.

 

11 years ago

Habarileo

Vifaa vyakwamisha ufanisi wa TBS

MAABARA za Shirika la Viwango Tanzania (TBS) zimeendelea kutumia vifaa vilivyopitwa na wakati kupima sampuli mbalimbali, hivyo kuchukua muda mrefu kutoa majibu.

 

5 years ago

Michuzi

WORLD VISION YATOA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID-19 VYA MILIONI 17 KWA MKOA WA TABORA

NA TIGANYA VINCENT

SHIRIKA la World Vision Tanzania limekabidhi vifaa vya thamani ya shilingi milioni 17.1 vya kudhibiti virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu ya Covid -19 kwa Mkoa wa Tabora

Msaada huo umekabidhiwa jana mjini Nzega na Meneja wa Kanda wa Shirika World Vision John Masenza kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri.

Alitaja msaada huo unajumuisha glovu boksi 990, magauni ya wahudumu wa afya ya kuwafaa wakati wa kuwahudumia wagonjwa 80 , lita 290 ya...

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI CCBRT AKABIDHI VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA HOSPITALI, VITUO VYA AFYA 22

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi,  leo hii amekabidhi vifaa maalumu vya kujikinga na virusi vya Corona usoni (Face Shields) vipatavyo 150 kwa hospitali na vituo vya afya 22 katika Manispaa za mkoa wa Dar es Salaam.
Lengo la CCBRT ni kuunga mkono juhudi za Serikali na wadau wengine hapa nchini katika kuwakinga wahudumu wa afya na janga la Corona. 
“Tumekusudia vifaa hivi vitumike katika vitengo vya afya ya uzazi katika hospitali hizo ili kuwakinga wahudumu wa afya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani