Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kasi ya Magufuli yabaini vyeti feki 219

Ni utaratibu wa kuwabaini watumishi walioghushi vyeti vya elimu kwa lengo la kupata ajira

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219

1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.

Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.

Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Sekretarieti yabaini vyeti 1,035 vya kughushi

SEKRETARIETI ya Ajira katika Utumishi wa Umma imeshabaini vyeti vya kughushi 1,035 kutoka kwa baadhi ya waombaji kazi tangu mpango wa kuhakiki vyeti ulipoanza hadi mwezi Mei mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

TBS yabaini vifaa feki vya umeme jua

Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limewataka wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za moduli feki za umeme nuru ‘Solar Power Panels’ kuziondoa madukani haraka, kabla hatua kali za kisheria hazijachukuliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Vyeti ‘feki’ vyatawala Simba

Wakati wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika klabu ya Simba wakitarajiwa kufanyiwa usaili leo ili kushiriki uchaguzi mkuu wa klabu hiyo baadaye mwezi ujao, imebainika kuwa wengi wamewasilisha vyeti bandia.

 

11 years ago

Mwananchi

Wenye vyeti feki wakaangwa bungeni

Wabunge juzi jioni walichachamaa wakitaka mawaziri na wabunge wanaohusishwa na vyeti feki kulithibitishia Bunge juu ya uhalali wa vyeti vyao.

 

10 years ago

Habarileo

Watumishi 1,360 wakutwa na vyeti feki

UDANGANYIFU katika vyeti wakati wa kuomba ajira umeendelea kukithiri nchini, ambapo ndani ya mwaka mmoja tu, kuanzia Julai mwaka jana mpaka Juni mwaka huu, watumishi 1,360 wamekutwa na vyeti visivyo halali. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, alisema hayo jana mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya baraza hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Watumishi waliotumia vyeti feki kukiona

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, ameiagiza Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu (Utumishi) kuwachukulia hatua watumishi waliobainika kutumia vyeti visivyo vyao, kupata ajira serikalini.

 

10 years ago

Mwananchi

Vyeti feki ni tatizo linalohitaji ufumbuzi haraka

Watanzania tumejijengea utamaduni wa ajabu, wa kujiuza kwa kutumia vyeti feki. Tatizo hilo lilianza kidogokidogo katika miaka ya 1980 na sasa limekuwa jambo la kawaida na maarufu.

 

9 years ago

Global Publishers

Jeshi la Polisi: Vyeti feki vyawaondoa askari kazini ni uzushi

Polisi_1_-_Msemaji_Msaidizi_wa_Jeshi_la_Polisi_Nchini_ASP_Advera_Senso_akitoa_ufafanuzi_kwa_waandishi_wa_habari_hawapo_pichani-e1427469063120Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera John Bulimba – SSP.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka tabia ya baadhi ya watu kutoa taarifa za uzushi na uongo kutumia majina ya taasisi, mashirika ya umma na ofisi za Serikali na kueneza taarifa hizo katika mitandao ya kijamii kwa lengo la kupotosha wananchi.

Miongoni mwa taarifa hizo ni pamoja na taarifa kuhusu Jeshi la Polisi iliyosambazwa jana katika mitandao ya kijamii yenye kichwa cha habari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani