Watumishi waliotumia vyeti feki kukiona
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki, ameiagiza Idara ya Usimamizi wa Rasilimaliwatu (Utumishi) kuwachukulia hatua watumishi waliobainika kutumia vyeti visivyo vyao, kupata ajira serikalini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Oct
Watumishi 1,360 wakutwa na vyeti feki
UDANGANYIFU katika vyeti wakati wa kuomba ajira umeendelea kukithiri nchini, ambapo ndani ya mwaka mmoja tu, kuanzia Julai mwaka jana mpaka Juni mwaka huu, watumishi 1,360 wamekutwa na vyeti visivyo halali. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde, alisema hayo jana mbele ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa, wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya baraza hilo.
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Wanaouza vyeti vya kuzaliwa kukiona
SERIKALI imetangaza kuwachukulia hatua kali wote watakaobainika kuuza vyeti vya kuzaliwa kwa bei kubwa kinyume cha sheria. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela...
11 years ago
Mwananchi29 May
Vyeti ‘feki’ vyatawala Simba
11 years ago
Mwananchi21 May
Wenye vyeti feki wakaangwa bungeni
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Kasi ya Magufuli yabaini vyeti feki 219
10 years ago
Mwananchi23 Jul
Vyeti feki ni tatizo linalohitaji ufumbuzi haraka
11 years ago
Habarileo11 Jan
Wakurugenzi, watumishi wahujumu kukiona
SERIKALI imesema itaendelea kuchukua hatua kali za kisheria ikiwamo kuwashusha vyeo baadhi ya wakurugenzi na watumishi wa halmashauri za wilaya nchini ambao kwa namna moja au nyingine watakutwa na tuhuma mbalimbali katika halmashauri zao.
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Kasi ya rais Magufuli yabaini vyeti feki 219
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki.
Kasi ya Mawaziri wa Rais John Pombe Magufuli kufanya ziara za kushtukiza na kutoa maagizo kwa watendaji imeanza kufumua uozo baada ya jana kubainika kuwa watumishi 219 kati ya 704 wa serikali wameajiriwa kwa vyeti vya kughushi.
Sakata hilo liliibuliwa baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki kutembelea Idara,vitengo vya Usimamizi wa...
9 years ago
Habarileo22 Dec
IGP akanusha kufuta askari kwa madai ya vyeti feki
MKUU wa Polisi nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amekanusha kufutwa kazi kwa askari kadhaa wanaodaiwa kuwa na vyeti feki kama iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii juzi na akasema Jeshi lake linamtafuta mtu ambaye amesambaza taarifa hizo alizoita za uzushi.