Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Haram sasa lateka nyara watoto

Watoto wapatao 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Boko Haram wateka nyara watoto.

Watoto 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa Boko Haram.

 
Watoto hao wametekwa nyara kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 
Tukio hili linakuja siku chache baada ya kundi hilo kuwateka wanawake na wasichana kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

 
Hadi sasa wasichana wa shule 200 waliotekwa na wanamgambo hao miezi tisa iliyopita bado hawajulikani walipo.

BBC

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lateka kambi ya jeshi Nigeria

Maafisa Nigeria wanasema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 241 WALIOTEKWA NYARA NA BOKO HARAM NIGERIA WANUSURIWA

Watu 241 waliotekwa nyara na Boko Haram Nigeria wanusuriwaJeshi la Nigeria limewaokoa watu 241 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la kigaidi la Boko Haram.Katika taarifa, Wizara ya Ulinzi ya Nigeria imesema watu hao waliokolewa katika oparesheni iliyofanyika katika eneo la Gamoru jimboni Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Nigeria  John Enenche amesema mateka hao ni pamoja na wanawake 105 na watoto 136, ambao wameokolewa wilayani Mudu kwenye operesheni iliyofanywa na vikosi vya Lafiya Dole Jumapili, na sasa wako...

 

11 years ago

Mwananchi

AFRIKA: Boko Haram sasa wazidiwa kete

>Kumekuwa na ripoti kwamba harakati za kundi la Boko Haram kuendelea kuwashikilia watu iliowateka katika eneo la kaskazini mwa Nigeria zimepata pigo baada ya kuelezwa kwamba idadi kubwa ya wale waliotekwa wamefanikiwa kupata upenyo na kuchomoka mikononi mwao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wametimua watoto nusu milioni

Watoto nusu milioni wametoroka makwao kutokana na mashambulio ya kundi la Boko Haram katika kipindi cha miezi mitano iliyopita.

 

11 years ago

BBCSwahili

Washirika wa Boko Haram

Genge moja huko Niger limezungumza na BBC, likisema limeshirikiana na kundi la wapiganaji wa Boko Haram na kwa kufanya hivyo wakapata pesa.

 

10 years ago

BBC

Escape from Boko Haram

How three girls fled their captors

 

11 years ago

BBC

Exactly what does the phrase Boko Haram mean?

What does the Nigerian militant group's name really translate as?

 

10 years ago

BBC

Why is Boko Haram so strong?

How did Nigeria's Boko Haram become so strong?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani