Boko Haram lateka kambi ya jeshi Nigeria
Maafisa Nigeria wanasema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili27 Oct
Boko Haram sasa lateka nyara watoto
Watoto wapatao 30 wametekwa nyara na watu wanaodhaniwa kuwa wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria.
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Jeshi la Nigeria huwakimbia Boko Haram
Viongozi wa dini ya kiislam nchini Nigeria wameli shambulia jeshi kwa hukimbia mashambulio ya kundi la Boko Haram.
10 years ago
BBCSwahili25 Jan
Jeshi lakabiliana na Boko Haram Nigeria
Jeshi la Nigeria linasema kuwa linapambana na shambulizi linalokisiwa kuwa la Boko Haram kwenye mji wa Maiduguri
10 years ago
GPL
JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM
Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. Wanajeshi wa Nigeria wakiimaklisha ulinzi dhidi ya Boko Haram nchini humo. Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema kuwa, wasichana hao waliokolewa siyo wale waliotekwa na kundi hilo mwaka jana katika eneo la Chibok....
10 years ago
GPL
JESHI LA NIGERIA LAOKOA MATEKA 160 WA BOKO HARAM
Jeshi la Nigeria wakiwa katika msitu wa Sambisa. ...wakiwa katika magari ya jeshi kuelekea kwenye mapigano. JESHI la Nigeria leo limewaokoa mateka wengine 160 waliokuwa wanashikiliwa na wapiganaji wa Kiislam wa Boko Haram katika msitu wa Sambisa ambapo kwa sasa wanahesabiwa kuhakikisha idadi yao. Hii imetokea ikiwa ni oparesheni endelevu ya kulisambalatisha kundi la Boko Haram nchini humo, baada ya Jeshi hilo kuivamia ngome ya...
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limefanikiwa kuwakomboa watu 338 kutoka kwa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili09 May
'Jeshi lilipuuza onyo la Boko Haram'
Shirika la Amnesty International linasema kuwa Jeshi la Nigeria lilipata onyo la mapema kuhusu utekaji nyara wa wasichana 270, lakini likakosa kuchukua hatua zozote.
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Jeshi laapa kuwashinda Boko Haram
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa linafanya oparesheni ya mwisho kwenye msitu unaoaminiwa kuwa ngome kuu ya Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili15 May
Nigeria yapuuza Boko Haram
Rais wa Nigeria amepuuza matakwa ya kundi la kiislam la Boko Haram lililotaka kubadilishana wafungwa kwa mateka
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania