Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. Wanajeshi wa Nigeria wakiimaklisha ulinzi dhidi ya Boko Haram nchini humo. Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema kuwa, wasichana hao waliokolewa siyo wale waliotekwa na kundi hilo mwaka jana katika eneo la Chibok....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lawaokoa mabinti 293

Jeshi la Nigeria limewaokoa wasichana mia mbili na tisini na tatu katika kambi ya Boko Haram iliyoko kwenye msitu wa Sambisa.

 

10 years ago

GPL

JESHI LA NIGERIA LAOKOA MATEKA 160 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria wakiwa katika msitu wa Sambisa. ...wakiwa katika magari ya jeshi kuelekea kwenye mapigano. JESHI la Nigeria leo limewaokoa mateka wengine 160 waliokuwa wanashikiliwa na wapiganaji wa Kiislam wa Boko Haram katika msitu wa Sambisa ambapo kwa sasa wanahesabiwa kuhakikisha idadi yao. Hii imetokea ikiwa ni oparesheni endelevu ya kulisambalatisha kundi la Boko Haram nchini humo, baada ya Jeshi hilo kuivamia ngome ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi lakabiliana na Boko Haram Nigeria

Jeshi la Nigeria linasema kuwa linapambana na shambulizi linalokisiwa kuwa la Boko Haram kwenye mji wa Maiduguri

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria huwakimbia Boko Haram

Viongozi wa dini ya kiislam nchini Nigeria wameli shambulia jeshi kwa hukimbia mashambulio ya kundi la Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lateka kambi ya jeshi Nigeria

Maafisa Nigeria wanasema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria

Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limefanikiwa kuwakomboa watu 338 kutoka kwa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lawaachilia mateka 27

Rais wa Cameroon amesema kuwa mateka 27 wakiwemo raia 10 wa Uchina wameachiliwa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 180

Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 180, wengi wao wanawake na watoto, kutoka kwa kundi hatari la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram, katika jimbo la Borno.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi lawaokoa wasichana 300 Nigeria

Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa limeliokoa kundi la kwanza la takriban wasichana 300 na wanawake kutoka kwa kundi la Boko Haram

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani