Jeshi lawaokoa wasichana 300 Nigeria
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa limeliokoa kundi la kwanza la takriban wasichana 300 na wanawake kutoka kwa kundi la Boko Haram
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili03 Aug
Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 180
Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 180, wengi wao wanawake na watoto, kutoka kwa kundi hatari la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram, katika jimbo la Borno.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 200
Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 200 ambao walikuwa mateka wa kundi la wapiganaji wa Boko Haram.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Jeshi la Nigeria lawaokoa mabinti 293
Jeshi la Nigeria limewaokoa wasichana mia mbili na tisini na tatu katika kambi ya Boko Haram iliyoko kwenye msitu wa Sambisa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eAkQ2xyNfS6qVaXg6RqBKPO3-3ZhQeb-sKroCBP6yITFMj1VQF893yXb16QqbWHcmBCsWpQ81jsbuTqnR*1Pa9daHkD5PfEV/Nigerianarmynaijaarena.com_2.jpg?width=650)
JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM
Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. Wanajeshi wa Nigeria wakiimaklisha ulinzi dhidi ya Boko Haram nchini humo. Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema kuwa, wasichana hao waliokolewa siyo wale waliotekwa na kundi hilo mwaka jana katika eneo la Chibok....
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Jeshi la Nigeria lilizika 300 katika makaburi ya halaiki
Majeshi ya Nigeria yalizika zaidi ya miili 300 ya wasilamu wa Shia katika makaburi ya halaiki -Human Rights Watch
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Jeshi lawasaka wasichana walitotekwa Nigeria
Vikosi vya usalama nchini Nigeria vinawasaka wasichana 100 waliotekwa nyara na watu wanaoshukiwa kuwa Boko Haram katika jimbo la Borno.
11 years ago
BBCSwahili27 May
Jeshi Nigeria: twajua waliko wasichana
Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa linajua wanakozuiliwa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara majuma sita yaliyopita.
9 years ago
BBCSwahili28 Oct
Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria
Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limefanikiwa kuwakomboa watu 338 kutoka kwa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Jeshi lawaokoa watu 10 kutoka kwa LRA
Jeshi la Uganda limesema kuwa limewaokoa watu 10 ,saba kati yao wakiwa watoto, waliokuwa wametekwa nyara na wapiganaji wa kundi la waasi la LRA.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania