Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi lawaokoa watu 10 kutoka kwa LRA

Jeshi la Uganda limesema kuwa limewaokoa watu 10 ,saba kati yao wakiwa watoto, waliokuwa wametekwa nyara na wapiganaji wa kundi la waasi la LRA.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 180

Jeshi la Nigeria linasema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 180, wengi wao wanawake na watoto, kutoka kwa kundi hatari la wapiganaji wa kiislamu la Boko Haram, katika jimbo la Borno.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 200

Jeshi la Nigeria limesema kuwa limewaokoa zaidi ya watu 200 ambao walikuwa mateka wa kundi la wapiganaji wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Nigeria lawaokoa mabinti 293

Jeshi la Nigeria limewaokoa wasichana mia mbili na tisini na tatu katika kambi ya Boko Haram iliyoko kwenye msitu wa Sambisa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi lawaokoa wasichana 300 Nigeria

Jeshi nchini Nigeria linasema kuwa limeliokoa kundi la kwanza la takriban wasichana 300 na wanawake kutoka kwa kundi la Boko Haram

 

10 years ago

GPL

JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. Wanajeshi wa Nigeria wakiimaklisha ulinzi dhidi ya Boko Haram nchini humo. Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema kuwa, wasichana hao waliokolewa siyo wale waliotekwa na kundi hilo mwaka jana katika eneo la Chibok....

 

5 years ago

CCM Blog

WATU 627 WAFARIKI KWA SIKU MOJA NCHINI ITALY KUTOKANA NA CORONA, SASA YATUMIA WANAJESHI KUZUIA WATU KUTOKA MAJUMBANI

ROME, Italia
ITALIA imeamua kuwatumia wanajeshi ili kuongeza nguvu ya kuzuia watu kutoka nje, Jana, Ijumaa Machi 20, 2020, huku maafisa wakisema watu 627 wamefariki  dunia kutokana na ugonjwa wa Corona  katika kipindi cha saa 24.

Idadi hii ya vifo ndiyo kubwa zaidi kutokea ndani ya siku moja duniani tangu mlipuko wa ugonjwa huu utokee nchuni China.

Kupoteza matumaini kwa baadhi ya watu kumeanza kuonekana Kaskazini mwa nchi hiyo hususan kwenye jimbo lililloathirika zaidi la Lombardy ambako kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ofisa wa jeshi adaiwa kuua watu kwa risasi

>Watu wawili inadaiwa wameuawa na mmoja kujeruhiwa eneo la Pugu Kinywamwezi baada ya kupigwa risasi na ofisa mmoja wa jeshi wakati walipopanda katika gari lake huku wakishangilia kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2014.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi lakomboa 300 kutoka kwa Boko Haram Nigeria

Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limefanikiwa kuwakomboa watu 338 kutoka kwa wapiganaji wa Kiislamu wa Boko Haram.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani