Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Boko Haram yasambaza mateka wasichana nje

MAMIA ya wasichana waliotekwa na kundi la Boko Haram nchini hapa wanadaiwa kuonekana wakioga na kuwapikia wanamgambo wa kundi hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram lawaachilia mateka 27

Rais wa Cameroon amesema kuwa mateka 27 wakiwemo raia 10 wa Uchina wameachiliwa na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mateka wasimulia mateso ya Boko Haram

Mateka waliokolewa kutoka mikononi mwa kundi la Kiislam la Boko Haram wanasema baadhi yao waliuawa kwa kupigwa mawe

 

10 years ago

GPL

JESHI LA NIGERIA LAOKOA MATEKA 160 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria wakiwa katika msitu wa Sambisa. ...wakiwa katika magari ya jeshi kuelekea kwenye mapigano. JESHI la Nigeria leo limewaokoa mateka wengine 160 waliokuwa wanashikiliwa na wapiganaji wa Kiislam wa Boko Haram katika msitu wa Sambisa ambapo kwa sasa wanahesabiwa kuhakikisha idadi yao. Hii imetokea ikiwa ni oparesheni endelevu ya kulisambalatisha kundi la Boko Haram nchini humo, baada ya Jeshi hilo kuivamia ngome ya...

 

10 years ago

GPL

JESHI LA NIGERIA LAWAOKOA MATEKA 293 WA BOKO HARAM

Jeshi la Nigeria likishambulia ngome za Boko Haram katika msitu wa Sambisa. Wanajeshi wa Nigeria wakiimaklisha ulinzi dhidi ya Boko Haram nchini humo. Jeshi la Nigeria limesema limewaokoa wasichana 293 kutoka katika kambi ya Boko Haram iliyoko katika msitu wa Sambisa, Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo. Jeshi hilo limesema kuwa, wasichana hao waliokolewa siyo wale waliotekwa na kundi hilo mwaka jana katika eneo la Chibok....

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasichana 60 wakwepa Boko Haram

Vyombo vya usalama Nigeria vimesema kuwa wasichana 60 wamejikomboa na kukimbia kambi ya Boko Haram walikozuiliwa kwa nguvu

 

11 years ago

BBCSwahili

Boko Haram wakiri kuteka wasichana

Kundi Boko Haram linasema kuwa ndilo lililowateka nyara wasichana 200 ambao hawajulikani waliko kwa wiki tatu sasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasichana 14 zaidi watoroka Boko Haram

Kamishna wa elimu katika jimbo la Borno, Nigeria asema wasichana 14 zaidi wamefanikiwa kutoroka katika mikono ya Boko Haram.

 

11 years ago

Michuzi

Boko Haram Waonyesha wasichana waliotekwa

Wasichana ambao kundi la Boko  Haram liliwateka nyara Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo inaonyesha zaidi ya wanawake mia moja wakiwa wamevalia hijabu na...

 

11 years ago

GPL

BOKO HARAM WAONYESHA WASICHANA WALIOTEKWA

Wasichana ambao kundi la Boko Haram liliwateka nyara. Kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekahu amesema kuwa atawaachilia huru wasichana waliotekwa nyara iwapo tu wapiganaji wa kundi hilo wanaozuiliwa na serikali ya Nigeria wataachiliwa huru. Katika kanda mpya iliyotolewa na kundi hilo, kiongozi huyo, amesema kuwa wasichana hao waliweza kusilimu katika kipindi cha wiki nne zilizopita tangu watekwe nyara. Kanda hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani