Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye …
December 27 zimenifikia headlines za mkali wa hit singles za Ashaw, Golibe na Sweetie Mr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa huyo yupo katika mipango ya kufunga ndoa ya siri siku ya Jumatatu ya December 28. Flavour anatajwa kutaka kumuoa babymama wake wa kwanza Sandra Okagbue kwa […]
The post Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye … appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo525 Sep
Hizi ndio sababu za ziara ya Avril ambaye yupo Tanzania
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8 Tanzania DECEMBER 18 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu yaTwitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti Desemba 18, 2015, unazisoma zote kwa pamoja. Vigogo wa TRA wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi kutokana na upotevu wa makontena […]
The post Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 8...
9 years ago
Bongo518 Sep
Picha: Akothee wa Kenya afanya collabo na Flavour wa Nigeria
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Z-JJSpQIZ6-N6*yjpOHbQjnUQWOHPzuAETRj57GW1Wna7P*8MCmbe79cou7yjECPfda-CR2RKOd6HfUfQVWUxZ04f7Cshj94/tiwaSaage.jpg?width=650)
TIWA SAVAGE, FLAVOUR, DAVIDO WASHINDWA KUPIGA KURA NIGERIA
10 years ago
Bongo521 Feb
Chidinma wa Nigeria asema hana uhusiano na Flavour, ni baada ya kuonekana waki-kiss kwenye video
9 years ago
Bongo517 Nov
Music: Hizi ni cover 2 za wimbo wa Adele ‘Hello’ zilizofanywa na wasanii wa Nigeria
![adele-25-cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/adele-25-cover-300x194.jpg)
Zimebaki siku 5 hit song ya muimbaji wa Uingereza, Adele itimize mwezi mmoja toka ulipotoka Oct. 23. Wanamuziki kutoka sehemu mbalimbali duniani wamejitokeza kufanya cover za wimbo huo.
Ukiacha kina Joe Thomas, Alaine, Demi Lovato na wengine ambao wamefanya cover ya ‘Hello’, wapo wasanii kutoka Afrika ambao wamefanya cover ya ‘Hello’.
Sikiliza na tazama cover version ya muimbaji wa RnB Praiz ambaye alishinda tuzo ya Afrima ‘Best African R&B/Soul Artiste’ pamoja na Omawumi wote kutoka...
10 years ago
Vijimambo20 Sep
HIZI NDIO SALAMU ZA MWIGULU KWA WOTE WALIOHUJUMU FEDHA HIZI ZA UMMA
![](https://fbcdn-sphotos-c-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfa1/v/t1.0-9/1907844_296860830516152_1936768200218849652_n.jpg?oh=3a3c6ce546a7a1c5416e1f3681005be1&oe=54CEAEDE&__gda__=1422949262_1d62cb09b57fa35cca6b5f8edd31248b)
Agizo hilo lilitolewa na Naibu Waziri wa Fedha, Mungulu Nchemba, akisema wakuu hao pamoja na waajiri wametumia mwanya wa...
9 years ago
Bongo502 Jan
Hawa ndio washindi wa tuzo za ‘The Headies 2015’ za Nigeria zilizotolewa Jan 1, 2016
![Headies-2015](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/Headies-2015-300x194.jpg)
Tuzo za The Headies za nchini Nigeria zilizokuwa zitolewe December 30, 2015 zilisogezwa na kutolewa January 1, 2016 jijini Lagos.
Katika tuzo hizo kulikuwa na kipengele kimoja kwaajili ya wasanii wa nje ya Nigeria, ‘African Artist’ ambapo Diamond Platnumz alikuwa akiwania na Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana. Hata hivyo matokeo ya kipengele hicho hayajawekwa.
Ifuatayo ni orodha ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kumi:
Headies...