Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TIWA SAVAGE, FLAVOUR, DAVIDO WASHINDWA KUPIGA KURA NIGERIA

Tiwa Savage. WAKATI wananchi wa Nigeria wakiwa katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika juzi na jana, baadhi ya mastaa walishindwa kuhudhuria tukio hilo muhimu kutokana na majukumu mbalimbali. Davido Adeleke. Miongoni mwa mastaa hao ni mwanamuziki Davido Adeleke, aliyekuwa na shoo kwenye tamasha moja nchini Kenya hivyo hakuweza kupiga kura.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Kiss Daniel Ft. Tiwa Savage, Davido — Woju Remix

Hii ni Remix ya wimbo “Woju” msanii kutoka Nigeria anaitwa Kiss Daniel amewashirikisha mastaa Tiwa Savage na Davido katika hii single

 

11 years ago

GPL

DIAMOND PLATNUMZ, LOLA RAE, TIWA SAVAGE, DAVIDO, MICASA & SARKODIE - AFRICA RISING (NEW VIDEO)

MultiChoice Africa has launched it’s biggest campaign yet, to celebrate Africa’s positivity,successes and the ability to tell the African story by Africans. The campaign dubbed “Africa Rising” is put up to honor and celebrate all that is positive in Africa. Especially the people around the continent who achieve the inspiring, the amazing and the impossible. It is an effort to allow the world to share...

 

10 years ago

Michuzi

ZAIDI YA 500 WASHINDWA KUPIGA KURA

 Msimamizi msaidizi wa uchaguzi kitongoji cha Msikitini kwenye Kijiji cha Mbwewe wilaya ya Bagamoyo Said Mlinde kulia akiongea na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete alipotembela kituo hicho kushuhudia zoezi la upigaji kura.msimamizi msaidizi wa kituo cha kupigia kura Kitongoji cha Mkwajuni kwenye Kijiji cha Miono wilaya ya Bagamoyo Faustina Oforo  akisubiria wapiga kura wa uchaguzi wa vitongoji, vijiji na mitaa uchaguzi uliofanyika juzi.
Na John Gagarini, Bagamoyo.HUKU uchaguzi wa...

 

11 years ago

Bongo5

Nigeria’s queen of afropop, Tiwa Savage, and Ghana’s neo-soul award winning Diva Efya announced to perform at the TribeOne Dinokeng festival in Cullinan, Tswane this September!

The City of Tshwane is the proud official Host City of the TribeOne Dinokeng festival An already stellar line-up for The TribeOne Dinokeng Festival has been announced and now Nigeria’s Queen of Afropop, Tiwa Savage, Ghana’s award winning Neo-Soul Diva, Efya, Zambia’s Slap Dee, Kay Figo and Uncle Rex join the likes of D’Banj, Sarkodie, […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Tiwa Savage — My Darlin’

Muimbaji wa kike kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao My Darlin’. Itazame hapa

 

10 years ago

Vijimambo

Tiwa Savage's baby shower on a Yacht

Tiwa Savage is currently having her baby shower on billionaire Femi Otedola's yacht. Friends Annie Idibia, Lami Philips, Lola Omotayo, Wizkid's Tania, Eku Edewor, Toke Makinwa, Freda Francis, Anita Uwagbale-Iseghohi, Toju Foyeh and more are all on board the yacht to celebrate with her. More photos after the cut.














































Posted by Linda 

 

10 years ago

GPL

‘BABY SHOWER’ YA TIWA SAVAGE MH!

Staa wa muziki Nigeria, Tiwa Savage akiwa na rafiki yake.
LAGOS, Nigeria
JUZIKATI kulifanyika sherehe ya ujio wa mtoto wa staa wa muziki Naija, Tiwa Savage ambapo mastaa kibao wa muziki na filamu walijitokeza.Sherehe hizo zilizokwenda kwa jina la ‘Sailor Baby Shower’ zilifanyika ndani ya boti ya tajiri maarufu wa mafuta, Femi Otedola ambapo Tiwa ni balozi kwenye kampuni yake. Akiwa na wageni waliohudhulia katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani