Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘BABY SHOWER’ YA TIWA SAVAGE MH!

Staa wa muziki Nigeria, Tiwa Savage akiwa na rafiki yake.
LAGOS, Nigeria
JUZIKATI kulifanyika sherehe ya ujio wa mtoto wa staa wa muziki Naija, Tiwa Savage ambapo mastaa kibao wa muziki na filamu walijitokeza.Sherehe hizo zilizokwenda kwa jina la ‘Sailor Baby Shower’ zilifanyika ndani ya boti ya tajiri maarufu wa mafuta, Femi Otedola ambapo Tiwa ni balozi kwenye kampuni yake. Akiwa na wageni waliohudhulia katika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tiwa Savage's baby shower on a Yacht

Tiwa Savage is currently having her baby shower on billionaire Femi Otedola's yacht. Friends Annie Idibia, Lami Philips, Lola Omotayo, Wizkid's Tania, Eku Edewor, Toke Makinwa, Freda Francis, Anita Uwagbale-Iseghohi, Toju Foyeh and more are all on board the yacht to celebrate with her. More photos after the cut.














































Posted by Linda 

 

10 years ago

Bongo5

Tiwa Savage gives birth to bouncing baby boy

Nigerian singer and Mavin first lady, Tiwatope Savage-Balogun a.k.a Tiwa Savage and her husband Tunji Balogun a.k.a Tee Billz have welcomed a new member to their family. Tiwa gave birth to a bouncing baby boy. Mavin Records CEO, Don Jazzy posted a child’s hand photo and congratulated the couple on Instagram; “Congrats to Mavin First […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Tiwa Savage — My Darlin’

Muimbaji wa kike kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao My Darlin’. Itazame hapa

 

9 years ago

Mtanzania

Albamu ya Tiwa Savage yavunja rekodi MTN

TIWA-SAVAGELAGOSI, NIGERIA

MKALI wa muziki nchini Nigeria, Tiwa Savage, albamu yake imevunja rekodi ya kusikilizwa kupitia mtandao wa MTN Music nchini humo.

Albamu hiyo ambayo ameipa jina la Razz Enigma Dodobucci ‘R.E.D’ yenye nyimbo 16, imevunja rekodi ya kusikilizwa na idadi kubwa ya watu ndani ya saa 24 baada ya kuachiwa kwake.

Tiwa aliitayarisha albamu hiyo katika Studio ya Mavin Records ambapo wamewashirikisha baadhi ya wasanii kama vile Don Jazzy, Olamide, Dr. Sid, Iceberg Slim, 2Face, D Prince,...

 

9 years ago

Global Publishers

Hatimaye Tiwa Savage amuanika sura mwanaye

TIWA

Staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage.

BAADA ya kukaa miezi kadhaa bila kuonesha sura ya mtoto wake tangu ajifungue, staa wa muziki kutoka Naija, Tiwa Savage hatimaye ameamua kumuanika sura mwanaye.

imageStaa huyo ambaye ni msichana wa kwanza kuingia Lebo ya Mavin inayomilikiwa na Don Jazzy aliamua kuwapa zawadi ya Sikukuu ya Krismasi mashabiki wake kwa kuanika sura ya mwanaye ambaye anamfananisha kama mtoto wa Krismasi.

 

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

UJAUZITO UMENIVURUGA SHEPU YANGU, TIWA SAVAGE

Mwanamuziki wa Nigeria,  Tiwa Savage. Lagos Nigeria MWANAMUZIKI Tiwa Savage wa Nigeria amelalamika kwamba ujauzito alio nao hivi sasa umevuruga shepu yake hasa kutokana tumbo kujitokeza. Tiwa Savage akiwa na mumewe Tunji ‘Teebillz’ Balogun.
Mrembo huyo ambaye anategemea kumzalia mtoto  mumeweTunji ‘Teebillz’ Balogun, amesema kwenye akaunti yake ya Instagram kwamba pamoja na kufurahia hali hiyo,...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Korede Bello Ft Tiwa Savage – Romantic

korede

Video mpya ya msanii Korede Bello kutaoka lebo ya Don Jazz, Mavin Records ambaye alifanya vizuri na wimbo wake wa “Godwin”, Huu ni wimbo wake mpya unaitwa “Romantic” akiwa amemshirikisha Tiwa Savage, wimbo huu ni dedication kwa wapendanao kwaajili ya siku ya Valentine. Video imetayarishwa na Moe Musa.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani