Picha: Akothee wa Kenya afanya collabo na Flavour wa Nigeria
Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Nigeria ambako ameenda kujitangaza zaidi pamoja na kufanya kazi na wasanii wa huko. Akiwa huko Akothee amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto zake kwa kufanya kazi na msanii ambaye ni role model wake, Mr Flavour. Kupitia Instagram ameshare picha akiwa studio na Flavour. Kwa mujibu wa Msetoea wimbo huo umefanywa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo517 Jul
Wizkid wa Nigeria afanya collabo na Rihanna
10 years ago
Bongo516 Oct
Picha: Akothee (Kenya) apanga kufanya remix na Black Coffee na kurekodi wimbo na Mafikizolo
11 years ago
Bongo515 Jul
Joh Makini afanya collabo na msanii wa kike wa Nigeria Chidinma, amwimbisha Kiswahili
10 years ago
Bongo526 Jan
Picha: Dj D-Ommy wa Times FM afanya tour Kenya
9 years ago
MillardAyo27 Dec
Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye …
December 27 zimenifikia headlines za mkali wa hit singles za Ashaw, Golibe na Sweetie Mr Flavour, asubuhi ya December 27 ameingia katika headlines kwao Nigeria, baada ya kuaminika kuwa staa huyo yupo katika mipango ya kufunga ndoa ya siri siku ya Jumatatu ya December 28. Flavour anatajwa kutaka kumuoa babymama wake wa kwanza Sandra Okagbue kwa […]
The post Mr Flavour yupo nje ya Nigeria, lakini hizi ndio stori zilizoenea Nigeria kuhusu yeye … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo522 Dec
Picha za utengenezaji wa video mpya ya Akothee ‘Djele Djele’
9 years ago
Bongo521 Aug
Hatimaye Diamond afanya collabo na Ne-Yo, asema itakuwa ‘hit song’