Wizkid wa Nigeria afanya collabo na Rihanna
Msanii wa Nigeria Wizkid jana (July 16) ametimiza miaka 24, na miongoni mwa zawadi aliyoamua kuwapa mashabiki kwenye siku yake ya kuzaliwa ni habari njema ya kuwa amerekodi wimbo na ex wa Chris Brown, Rihanna. Akizungumza na The Beat FM ya Nigeria, Wizkid amesema wimbo huo utakuwepo katika album yake mpya. Baadhi ya mashabiki wa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Sep
Picha: Akothee wa Kenya afanya collabo na Flavour wa Nigeria
Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Nigeria ambako ameenda kujitangaza zaidi pamoja na kufanya kazi na wasanii wa huko. Akiwa huko Akothee amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto zake kwa kufanya kazi na msanii ambaye ni role model wake, Mr Flavour. Kupitia Instagram ameshare picha akiwa studio na Flavour. Kwa mujibu wa Msetoea wimbo huo umefanywa […]
11 years ago
Bongo515 Jul
Joh Makini afanya collabo na msanii wa kike wa Nigeria Chidinma, amwimbisha Kiswahili
Coke Studio ni project inayokutanisha wasanii mbalimbali wa Afrika ambao mbali na kupata nafasi ya kufahamiana lakini pia inawapa fursa ya kuweza kushirikiana kwa kufanya nyimbo pamoja na kutengeneza network mpya katika nchi wanazotoka. Mwamba wa Kaskazini mwaka huu ni miongoni mwa wasanii waliopata shavu hilo, na kwa sasa yupo jijini Nairobi alikosindikizwa na G-Nako. […]
9 years ago
Bongo502 Nov
Collabo ya Wizkid na Diamond haiepukiki
![12132711_482048025296498_1976295501_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12132711_482048025296498_1976295501_n-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo
Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show. Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja. “Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake. Hit […]
9 years ago
Bongo531 Oct
Wizkid asema R.Kelly alimpigia simu kumwomba kufanya naye collabo kwaajili ya album yake
![wizkidayo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/wizkidayo-94x94.png)
10 years ago
Bongo509 Oct
Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga
Japokuwa Wizkid alishathibitisha kupitia Twitter kuwa amefanya collabo na staa wa R&B Chris Brown wa Marekani, staa huyo wa Nigeria amezungumzia collabo hiyo alipofanya mahojiano na DJ Abrantee wa Capital Xtra ya Uingereza Jumamosi iliyopita. Wizkid ambae amekua na urafiki na Breezy toka walipokutana na kutumbuiza pamoja Nigeria na Ghana miaka miwili iliyopita, amesema hivi […]
9 years ago
Bongo521 Aug
Hatimaye Diamond afanya collabo na Ne-Yo, asema itakuwa ‘hit song’
Kile kilichosubiriwa kwa hamu na mashabiki toka Diamond na Ne-Yo wakutane Afrika Kusini kwenye tuzo za MAMA 2015 hatimaye kimetimia, ni collabo ya Diamond Platnumz na mwimbaji huyo wa R&B kutoka Marekani. Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram amemshukuru Ne-Yo baada ya kumaliza kurekodi wimbo huo. Katika picha aliyopost akiwa na Ne-Yo studio, pia anaonekana […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania