Collabo ya Wizkid na Diamond haiepukiki
Diamond Platnumz amefanya collabo na kila msanii mkubwa wa Nigeria. Ameshafanya ngoma au kushiriki kwenye ngoma na P-Square, Davido, D’Banj, Tiwa Savage, Iyanya, Waje, Kcee, Bracket, Flavour na wengine lakini ni msanii mmoja tu mkubwa hajakutana naye kwenye wimbo wowote – Wizkid. Wawili hao walikutana mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye show ya Leaders Club jijini […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo517 Jul
Wizkid wa Nigeria afanya collabo na Rihanna
Msanii wa Nigeria Wizkid jana (July 16) ametimiza miaka 24, na miongoni mwa zawadi aliyoamua kuwapa mashabiki kwenye siku yake ya kuzaliwa ni habari njema ya kuwa amerekodi wimbo na ex wa Chris Brown, Rihanna. Akizungumza na The Beat FM ya Nigeria, Wizkid amesema wimbo huo utakuwepo katika album yake mpya. Baadhi ya mashabiki wa […]
9 years ago
Bongo506 Oct
Picha: Wizkid na Fally Ipupa waingia studio kufanya collabo
Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show. Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja. “Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake. Hit […]
9 years ago
Bongo531 Oct
Wizkid asema R.Kelly alimpigia simu kumwomba kufanya naye collabo kwaajili ya album yake
![wizkidayo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/wizkidayo-94x94.png)
10 years ago
Bongo509 Oct
Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga
Japokuwa Wizkid alishathibitisha kupitia Twitter kuwa amefanya collabo na staa wa R&B Chris Brown wa Marekani, staa huyo wa Nigeria amezungumzia collabo hiyo alipofanya mahojiano na DJ Abrantee wa Capital Xtra ya Uingereza Jumamosi iliyopita. Wizkid ambae amekua na urafiki na Breezy toka walipokutana na kutumbuiza pamoja Nigeria na Ghana miaka miwili iliyopita, amesema hivi […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwHqVdxeY9IIlzPOSLQijglyXrEXZBsZGAks9mxHYlWuMj8o82sJRUYc-s1kBEeU5DmjyBT*owfUPM-E9ZrsNyPG/WIZKID.jpg?width=650)
WIZKID AWAKUBALI DIAMOND, KIBA
Wizkid. Mkali wa muziki toka Naija anayetamba kwa kibao chake cha Ojuelegba, Wizkid ameonesha kuwakubali wanamuziki kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz na Ali Kiba jambo lililoonesha jinsi muziki wa Bongo Fleva ulivyofika mbali. Diamond Platnumz. Wizkid alisema hayo katika shoo iliyofanyika katika Viwanja vya Leaders jijini Dar wikiendi iliyopita ambapo mbali na kuwakubali wasanii hao alionesha mapenzi yake ya dhati kwa...
9 years ago
Bongo529 Oct
Video ya collabo ya Diamond na Ne-Yo kufanyika Marekani na Afrika
Diamond Platnumz ambaye amefanya collabo na msanii mkubwa wa R&B wa Marekani, Ne-Yo ameelezea hatua ilipofikia project hiyo inayotarajiwa kumfungulia njia ya mafanikio zaidi kimataifa. Akizungumza na mtangazaji wa Citizen ya Kenya, Mzazi Willy Tuva, Platnumz amesema kuwa wimbo huo umekamilika lakini hawezi kusema utatoka lini kwa sasa kuna baadhi ya mambo ambayo anayoyaweka sawa […]
10 years ago
Bongo516 Feb
Not So Fast: Collabo ya Diamond na P-Square bado haijatoka
Kama umedownload au kutumiwa wimbo unaosemekana kuwa ni wa Diamond featuring P-Square na pamoja na kuusikiliza kwa mara kibao ukashindwa kusikia sauti ya Paul au Peter Okoye, basi sikio lako halikudanganyi – hakuna collabo hiyo. Wimbo huo unaitwa ‘Marry Me’ ni wa Iyanya ambao kipindi muimbaji huyo wa Nigeria amekuja kwenye Fiesta mwaka juzi, alimpa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania