Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha za utengenezaji wa video mpya ya Akothee ‘Djele Djele’

Muimbaji wa Kenya, Akothee amemaliza kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Djele Djele’. Video ya wimbo huo itatoka January 2. Hizi ni picha za utengenezaji wa video hiyo.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music + Video: Akothee — Djele Djele

Muimbaji wa Kenya, Esther Akoth anayejulikana kwa jina la kisanii, Akothee ameachia video ya ngoma yake mpya Djele Djele. Video ilifanyika mpakani kwa Kenya na Tanzania, Sirari. Itazame hapa. Unaweza kuudownload wimbo huo hapo chini.

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Utengenezaji wa video mpya ya Asia ‘Leo’

Msanii wa muziki, Asia aliyetamba na wimbo ‘Mtoto wa Mjini’ anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Leo’ iliyoongozwa na kutayarishwa na kampuni ya Kwetu Studio. Tamaza picha za utengenezaji wa video hiyo.

 

11 years ago

Bongo5

Picha/Audio: Utengenezaji wa video mpya ‘Mr. Oreo’ ya Iyanya, Marekani na sikiliza wimbo wake mpya ‘Story story’

Iyanya ni msanii wa Nigeria ambaye mwaka huu ameshirikishwa na star wa Bongo, Diamond Platnumz katika wimbo uitwao ‘Bum Bum’ ambao video yake imetoka hivi karibuni. Nyota huyo aka Mr. Kukere ambaye mwaka jana pia alikuja Tanzania na kutumbuiza katika tamasha la Fiesta Dar es salaam, ameachia single mpya iitwayo ‘Story story’ Feat. Oritsefemi. Hivi […]

 

11 years ago

Bongo5

Picha 10 za utengenezaji wa video ya Feza Kessy ‘My papa’, Afrika Kusini

Aliyekuwa mshiriki wa Tanzania katika shindano la Big Brother mwaka jana, Feza Kessy ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘My Papa’ aliouachia radioni mwezi April mwaka huu. Video hiyo inayotarajiwa kutoka 08.08.2014 imeshutiwa nchini Afrika Kusini na director aitwaye Kyle White. Models watakaoonekana kwenye video hiyo ni pamoja na Mtanzania aitwaye Daxx, Tandi wa Afrika […]

 

9 years ago

Bongo5

BTS za utengenezaji wa video tofauti za Ben Pol na Mwana FA Afrika Kusini (Picha)

11925676_463374680501587_1567968702_n

Ben Pol na Mwana FA wote wapo nchini Afrika Kusini walikoenda kushoot video zao.

11925676_463374680501587_1567968702_n
Ben Pol akiwa kwenye moja ya scene za video yake

Ben ameendelea kushoot video ya wimbo wake ‘Ningefanyaje’ aliowashiriki Avril na Rossie M.

11421986_522616981241607_718948242_n
Ben Pol na Rossie M wakiwa location huku Justin Campos akiendelea na kazi yake

Muimbaji huyo amemaliza kufanya video hiyo Jumapili hii akimtumia muongozaji wa nchini humo, Justin Campos wa Gorilla Films. Avril wa Kenya hakuonekana kwenye location hizo.

11419262_1157084614313211_1074544956_n
12063219_1642635846024710_765721299_n

12230784_1720278058206242_744544065_n
Timu nzima...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Akothee wa Kenya afanya collabo na Flavour wa Nigeria

Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Nigeria ambako ameenda kujitangaza zaidi pamoja na kufanya kazi na wasanii wa huko. Akiwa huko Akothee amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto zake kwa kufanya kazi na msanii ambaye ni role model wake, Mr Flavour. Kupitia Instagram ameshare picha akiwa studio na Flavour. Kwa mujibu wa Msetoea wimbo huo umefanywa […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Akothee (Kenya) apanga kufanya remix na Black Coffee na kurekodi wimbo na Mafikizolo

Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kwa shughuli binafsi, biashara na muziki. Akothee akiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Black Mango Studio ambaye ni meneja wake wa Afrika Kusini Msanii huyo aliyekuja Tanzania mwezi uliopita, yupo kwenye mazungumzo na DJ maarufu wa Afrika Kusini, Black Coffee kufanya naye remix ya wimbo wake […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Akothee — Shengerera Mama

Muimbaji wa Kenya, Akothee ameachia video ya wimbo wake Shengerera Mama iliyoongozwa na Godfather Productions. “Shengerera Mama is a song dedicated to appreciate all mothers in the world.All women, guardians and every other woman out there taking care of kids and families. We love and respect you,thank you for being there for us,” anasema Akothee. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani