Chidinma wa Nigeria asema hana uhusiano na Flavour, ni baada ya kuonekana waki-kiss kwenye video
Baada ya staa wa Nigeria, Flavour kutoa video ya wimbo wake ‘Ololufe’ aliyomshirikisha muimbaji wa kike wa Naija Chidinma, video hiyo ilipokelewa kwa mitazamo tofauti huku wengi wakidhani wawili hao ni wapenzi. Kilichopelekea mashabiki wengi kuamini hivyo ni kutokana na Flavour na Chidinma ku-kiss kwenye video hiyo ya wimbo wa mapenzi, sababu wao wenyewe ndio […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Feb
New Video: Flavour Ft. Chidinma — Ololufe
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Dhek9R3c6TY/default.jpg)
11 years ago
Dewji Blog20 Jul
9 years ago
Bongo527 Nov
Picha: Model aliyecheza video ya Big Sean na Chris Brown kuonekana kwenye video ya Mayunga
![12292729_1514452005519363_325519831_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/12292729_1514452005519363_325519831_n-300x194.jpg)
Mayunga yupo nchini Marekani alikoenda kufanya wimbo na Akon. Wimbo huo ni sehemu ya mambo anayotakiwa kufanya baada ya kushinda shindano la Airtel Trace Music Star.
Tayari wawili hao wamesharekodi wimbo huo na kinachofuata sasa ni video ya muziki.
Alhamis hii Mayunga alieleza kupitia Instagram kuwa model atakayetumika kwenye video hiyo aliwahi kutumika kwenye video ya wimbo wa Big Sean na Chris Brown.
“Anaitwa @itsssvia unaweza kumtazama katika video ya big sean ft chris brown alionekana...
5 years ago
BBCSwahili13 Mar
Coronavirus: Trump asema hana mpango wa kupima, baada ya kukutana na ofisa wa Brazil ambaye aligundulika kuwa na virusi
9 years ago
Bongo516 Oct
Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi
10 years ago
Bongo521 Sep
Juma Nature asema hana mpango wa kutoa album wala kushoot video nje ya nchi
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz. Safari hii kundi hilo limeamua kushoot pia na supermodel kutokea Tanzania Millen Magese ambaye ataonekana katika video hiyo mpya iliyotayarishwa huko Johannesburg, Afrika Kusini. Hizi ni baadhi ya picha zikionesha Mafikizolo, Diamond Platnumz […]
The post Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond...
10 years ago
Bongo502 Sep
Wizkid aizungumzia beef yake na Davido, asema hana beef na mtu (video)