Picha: Model aliyecheza video ya Big Sean na Chris Brown kuonekana kwenye video ya Mayunga
Mayunga yupo nchini Marekani alikoenda kufanya wimbo na Akon. Wimbo huo ni sehemu ya mambo anayotakiwa kufanya baada ya kushinda shindano la Airtel Trace Music Star.
Tayari wawili hao wamesharekodi wimbo huo na kinachofuata sasa ni video ya muziki.
Alhamis hii Mayunga alieleza kupitia Instagram kuwa model atakayetumika kwenye video hiyo aliwahi kutumika kwenye video ya wimbo wa Big Sean na Chris Brown.
“Anaitwa @itsssvia unaweza kumtazama katika video ya big sean ft chris brown alionekana...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo524 Nov
Picha: Mayunga akamilisha collabo yake na Akon na kushoot video siku moja, amtumia model wa Chris Brown
![Mayunga na Akon](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mayunga-na-Akon-300x194.jpg)
Kazi iliyompeleka mshindi wa Airtel Trace Music Star, Mayunga Nalimi nchini Marekani, ya kufanya collabo na boss wa label ya Konvict Music, Akon imekamilika.
Mayunga ameelezea jinsi kazi hiyo ilivyofanyika kwa siku moja, kuanzia kupewa wimbo kuushika, kurekodi na kushoot video vyote ndani ya saa 24.
“Nilikua nina siku moja tu yakushika kila kitu kwenye wimbo niliopewa” Mayunga ameiambia TeamTz “Kwahiyo ilinibidi nijitume ili niufahamu vizuri wimbo ili nifanye kitu kizuri hata bwana Akon...
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!
Kwa siku ya tatu mfululizo staa wa muziki Chris Brown amekuwa akizisogeza videos kutoka kwenye album yake mpya, Royalty… jana December 16 2015 staa huyo aliileta kwetu Wrist kwenye video na leo C Breezy anaisogea kwetu ‘Anyway’ pembeni akiwa na mrembo Tayla Parx. ‘Anyway’ ni single ya tatu kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown […]
The post Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)! appeared first on...
9 years ago
MillardAyo16 Dec
Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond Platnumz….(+Picha)
Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutokea Afrika Kusini ambapo kundi la Mafikizolo wameingia location kushoot video mpya ya single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz. Safari hii kundi hilo limeamua kushoot pia na supermodel kutokea Tanzania Millen Magese ambaye ataonekana katika video hiyo mpya iliyotayarishwa huko Johannesburg, Afrika Kusini. Hizi ni baadhi ya picha zikionesha Mafikizolo, Diamond Platnumz […]
The post Millen Magese kuonekana kwenye video mpya ya Mafikizolo ft Diamond...
11 years ago
Bongo517 Jul
Video: Drake na Chris Brown waigiza pamoja kwenye ‘skit’ ya tuzo za ESPY 2014
10 years ago
Bongo504 Dec
Picha: Mfahamu Melissa Magiera, model kwenye video ya ‘Ntampata Wapi’
11 years ago
Bongo505 Jul
Video: Jimmy Kabwe achukua nafasi ya ML Chris kwenye The Big Easy ya Choice FM
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video)
Baada ya kuachia video ya ‘Anyway’ jana December 17 2015, Chris Brown amerudi na nyingine mpya ikiwa ni muendelezo wa pale ilipoishia kwenye video ya awali. Wimbo unaitwa ‘Picture Me Rollin’ na miondoko ya wimbo huu unafanana na ile ya Dr. Dre kwenye ngoma yake ya mwaka 1993 ‘Let Me Ride’… Video mpya ya Chris […]
The post Ya nne kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown, ‘Picture Me Rollin’ imenifikia, itazame hapa!- (Video) appeared first on...
10 years ago
Bongo523 Dec
Picha: Yupi mrembo zaidi? Model kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ au yule wa ‘Ntampata Wapi’
10 years ago
Bongo509 Oct
Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga