Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!
Kwa siku ya tatu mfululizo staa wa muziki Chris Brown amekuwa akizisogeza videos kutoka kwenye album yake mpya, Royalty… jana December 16 2015 staa huyo aliileta kwetu Wrist kwenye video na leo C Breezy anaisogea kwetu ‘Anyway’ pembeni akiwa na mrembo Tayla Parx. ‘Anyway’ ni single ya tatu kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown […]
The post Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)! appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Chris Brown feat. Tayla Parx – Anyway
Chris Brown goes three for three in releasing consecutive music videos this week, this time for “Anyway” featuring Tayla Parx.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo515 Dec
Music: Chris Brown Ft. Tayla Parx – Anyway
Chris Brown hits the dance floor on “Anyway” featuring Tayla Parx, the latest preview off his upcoming album Royalty (Dec. 18).
Breezy opens up on the electro-banger, which crests with a synth-powered chorus and touts complimentary vocals from the up-and-coming singer-songwriter. “I know you probably never had somebody loving you like I do, someone who’s there for you / Don’t judge me ’cause we only human, I must be stupid babe, letting you slip away / If you show me all your flaws, I’ll...
10 years ago
Bongo515 Aug
New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Chris Brown anaisogeza hii ya mwisho akiwa na Royalty, ‘Little More (Royalty)’ – (Video)!
Chris Brown anafunga mwaka wa 2015 kwa style ya kipekee zaidi… baada ya kuachia video za nyimbo nne zinazopatikana kwenye album yake mpya Royalty, staa huyo wa muziki wa R&B anaisogeza video ya mwisho kwenye maskio na macho yetu. Official music video ya ‘Little More (Royalty)’ ipo hewani ikiwa ndio final chapter inayokamilisha stori ya […]
The post Chris Brown anaisogeza hii ya mwisho akiwa na Royalty, ‘Little More (Royalty)’ – (Video)! appeared first on...
9 years ago
Bongo503 Nov
Video: Tinashe Feat. Chris Brown — Player
Baada ya kutoa behind the scenes ya video yake mpya, msanii wa muziki wa Pop R&B kutoka Marekani, Tinashe ameachia video wimbo wake mpya “Player” amemshirikisha Chris Brown.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo530 Oct
Trailer: Rick Ross Feat. Chris Brown — Sorry (video)
9 years ago
Bongo516 Dec
Video: Chris Brown Feat. Solo Lucci – Wrist
Staa wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown ameachia videos mpya nyingine kutoka kwenye album yake ya saba, Royalty.
Baada ya jana 15 December 2015,kutoa video ya “Back to Sleep” leo kaachia video ya ngoma inaitwa “Wrist” na hii pia inapatikana kwenye album mpya ya Chris Brown, “Royalty” itakayotoka siku ya ijumaa December 18 2015.
10 years ago
GPL16 Aug
9 years ago
Bongo503 Nov
Video: French Montana Feat. Chris Brown & Migos – Moses
French Montana hits the desert with Chris Brown and Migos in the catastrophic video for “Moses.” In the Spiff TV-directed clip, the fellas turn up at an abandoned warehouse after their plane crashes. While the flames burn behind them, they wander through the sand as half-naked women strut around. Migos’ Quavo and Takeoff also survive the crash unscathed, and didn’t even lose one gold chain.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata...