Trailer: Rick Ross Feat. Chris Brown — Sorry (video)
Rick Ross ameachia trailer ya video ya single yake aliyomshirikisha Chris Brown ‘Sorry’. Audio ya wimbo huo ilitoka mwanzoni mwa mwezi huu. ‘Sorry’ ni wimbo utakaopatikana katika album ya Rozay ‘Black Market’. Huu ni mwaka ambao Rozay ameshambulia vya kutosha kwa kuachia kazi (nyimbo na video) nyingi kwa kipindi kifupi kifupi. Wiki hii pia ametoa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL16 Aug
10 years ago
Bongo515 Aug
New Music Video: Chris Brown aachia video mpya ya ‘New Flame’ Feat. Usher & Rick Ross
9 years ago
Bongo507 Oct
New Music: Rick Ross Feat. Chris Brown — Sorry
9 years ago
GPL14 Nov
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz)
Ubunifu wa michoro umekuwa maarufu sana siku hizi na ni kitu kinachovutia… najua hawa mastaa wote hawajawahi kuonekana wakiwa na mavazi ya kiafrika, pata picha eti Chris Brown anatupia nguo za kiafrika itakuwaje??!! Hapa nimepata picha za ubunifu ambazo wanaonekana Drake, Jay Z, P Diddy, Rick Ross na Chris Brown kwenye muonekano wa nguo ambazo mara […]
The post Pata picha Jay Z, Drake, Rick Ross, P Diddy na Chris Brown wanatokea kama machifu wa Nigeria.. (+Pichaz) appeared first on...
9 years ago
Bongo519 Dec
Video: Remy Ma Feat. Rick Ross & Yo Gotti – Hands Down
![remy-ma-fat-joe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/remy-ma-fat-joe-300x194.jpg)
Doors up, doors down. Sixteen months after her release from prison, Remy Ma returns with a video for “Hands Down,” and she’s brought along her homeboys. The Bronx rapper unites with Rick Ross and Yo Gotti in the clip, which features cameos from Gunplay and Fat Joe, whom she recently reunited with. Remy dons a skintight racing suit and raps in front of her exotic whip, while Renzel goes shirtless and pops champagne.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...
9 years ago
Bongo502 Oct
Video: Rick Ross Feat. The-Dream – Money Dance & Geechi Liberace
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)!
Kwa siku ya tatu mfululizo staa wa muziki Chris Brown amekuwa akizisogeza videos kutoka kwenye album yake mpya, Royalty… jana December 16 2015 staa huyo aliileta kwetu Wrist kwenye video na leo C Breezy anaisogea kwetu ‘Anyway’ pembeni akiwa na mrembo Tayla Parx. ‘Anyway’ ni single ya tatu kutoka kwenye album mpya ya Chris Brown […]
The post Ni video juu ya video, Chris Brown anaisogeza ‘Anyway’ feat. Tayla Parx – (Video)! appeared first on...
9 years ago
Bongo518 Dec
Video: Chris Brown feat. Tayla Parx – Anyway
![cb-anyway](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/cb-anyway-300x194.jpg)
Chris Brown goes three for three in releasing consecutive music videos this week, this time for “Anyway” featuring Tayla Parx.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!