Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKURUGENZI WA MASHARIKI YA KATI AZUNGUMZA NA BALOZI WA UAE NCHINI

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi  na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu.  Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

Mkurugenzi wa Mashariki ya Kati azungumza na Balozi wa UAE nchin

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Balozi Abdallah Kilima (kulia) akimsikiliza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Abdulla Ibrahim Ghanim Alsuwaidi (kushoto) alipokuja kujitambulisha na kumpongeza kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi na Balozi mpya katika Idara hiyo ya Mashariki ya Kati. Katika mazungumzo yao waligusia masuala ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu. Afisa Mambo ya Nje, Bw. Hangi Mgaka akisikiliza mazungumzo kati ya Balozi...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI JAPAN NA BALOZI MALAWI NCHINI TANZANIA, PIA AZUNGUMZA NA GAVANA MKUU WA JIMBO LA SIUSTAN NA BALACHESTAN

Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkaribisha Balozi Mpya wa Malawi Nchini Tanzania Bibi Hawa Ndolowe aliyefika Ofisini kwake kujitambulisha rasmi.
Balozi Seif akisalimiana na Gavana Mkuu wa Jimbo la Siustan na Balachestan...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AZUNGUMZA NA BALOZI MPYA WA INDIA NCHINI, SANDEEP ARYA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Balozi Mpya wa India aliyepo Nchini Tanzania Bwana Sandeep Arya aliyefika Ofisini kwake Mtaa wa Vuga Mjini Zanzibar kujitambulisha rasmi.Balozi Seif akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa India Nchini Tanzania Bwana Sandeep Arya aliyekaa kati kati katika azma ya kuimarisha uhusiano wa muda mrefu wa Kihistoria kati ya pande hizo mbili. Aliyekaa mwanzo kutoka kushoto ni Balozi Mdogo wa India aliyepo hapa Zanzibar Bwana...

 

11 years ago

Michuzi

BALOZI MPYA WA TANZANIA NCHINI UAE AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk, tarehe 02/03/2014 aliwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Makhtoum, Makamu wa Rais UAE, Waziri Mkuu na Mtawala wa Dubai, jijini Abu Dhabi, UAE. Sherehe hizo zilizofanyika kwenye Kasri ya Al Mushrif, zilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wa Kitaifa wa UAE. Balozi wa Tanzania nchini UAE, Mheshimiwa Mbarouk Nassor Mbarouk na Mkuu wa Itifaki...

 

9 years ago

Vijimambo

Dk.Shein Azungumza na Balozi Mpya wa India na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Saudia Arabia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mpya wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw.Sandeep Arya aliyefika kujitambulisha leo Ikulu Mjini ZanzibarRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai, Mhe. Omar Mjenga Akutana na Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai.























Mhe. Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Ubalozi Mdogo wa Tanzania uliopo Dubai, akiwa katika picha na Mhe. Yousef A. Rahmani Al Mahaira, Mkurugenzi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE, Ofisi ya Dubai baada ya kikao chao leo ofisini kwa Mhe. Yousef. Kikao chao kilijadili maandalizi ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu na Mtukufu Sheikh Ahmed Bin Saeed Ak Maktoum, Rais wa Idara ya Anga ya Dubai na Mwenyekiti wa Shirika la Ndege...

 

10 years ago

Vijimambo

Balozi Mulamula azungumza na Balozi wa Ufaransa nchini


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Tanzania Mhe. Malika Berak, alipokuja kujitambulisha na kumpongeza Balozi Mulamula kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu. Pia walizungumzia masuala mbalimbali ya kimaendeleo na kukuza mahusiano ya kibiashara kati ya nchi hizi mbili

Katibu Mkuu Balozi Mulamula akimwonyesha Balozi Berak Kitabu kinachozungumzia maendeleo ya Mji wa Kilwa
.
Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felisita...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Membe azungumza na Balozi wa Oman nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard K. Membe (Mb.) akifanya mazungumzo na Balozi wa Oman hapa nchini, Mhe. Saoud Al Ruqaishi alimpomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kuzungumzia masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Oman. Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya (kushoto) akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Bi. Mindi Kasiga (kulia) pamoja na Bi. Asha Mkuja,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani