Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi wa Wanyamapori nchini aondolewa

Profesa Alexander Songorwa WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi wa Wanyamapori aondolewa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari, Nyalandu alisema amechukua hatua hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa kazi wa idara hiyo katika mapambano dhidi ya ujangili, yanayoendelea nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge

Hatua ya kurejeshwa kazini Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa baada ya kutimuliwa kazi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu imeibua mapya baada ya mkurugenzi huyo kutimuliwa katika Kamati ya Bunge jana.

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyamapori nchini Tanzania ampongeza Rais Kenyatta

unnamed

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini Tanzania Kidon Mkuu, akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye harakati zake za matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na wanaharakati wenzake wa huko Philipine.

unnamed (1)

Mwanaharakati wa siku nyingi wa wanyama pori na mazingira nchini, Kidon Mkuu akiwa Philipine Manila December 2014 kwenye matembezi ya kupinga kuuwawa kwa Tembo na Faru akiwa na Susan Jaylo.

unnamed (2)

Mwanaharakati Kidon Mkuu akiwa kweye hoteli alikoshukia ya...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHARIB BILAL AHUDHULIA KONGAMANO LA KIMATAIFA KUHUSU BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI BOTSWANA LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Ghariba Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal, wakiwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa SIR SERETSE KHAMA Nchini Botswana kwa ajili ya kuhudhuria kwenye kongamano la Kimataifa kwa Viongozi wakuu wa Nchi, kuhusu biashara haramu ya wanyamapori Duniani. Kongamano hilo limefanyika leo March 25,2015 kwenye Hoteli ya Mowana iliyopo katika mbuga ya wanyama Kasane Nchini Botswana.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MWANA MFALME WA UINGIREZA PRINCE CHARLES NA KUJADILI VITA DHIDI YA BIASHARA HARAMU YA WANYAMAPORI NCHINI UINGEREZA.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles wakati wa mkutano uliojadili  vita dhidi ya biashara haramu ya wanyamapori huko Clarence House London nchini Uingereza.Mkutano huo uliandaliwa na Prince Charles.(picha kwa hisani ya Clarence House)

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi Erolink atoroka nchini

MKURUGENZI wa Kampuni ya uwakala wa ajira ya Erolink Tanzania Limited ametoroka nchini baada ya serikali kubaini kuwa  ameikosesha kodi ya zaidi ya sh bilioni tatu kwa miaka mitatu. Tanzania...

 

11 years ago

Mwananchi

Mkurugenzi Bodi ya Utalii nchini avuliwa madaraka

Serikali imemvua wadhifa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Utalii nchini (TTB), Dk Aloyce Nzuki kutokana na utendaji usioridhisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani