Mkurugenzi wa Wanyamapori aondolewa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari, Nyalandu alisema amechukua hatua hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa kazi wa idara hiyo katika mapambano dhidi ya ujangili, yanayoendelea nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Feb
Mkurugenzi wa Wanyamapori nchini aondolewa
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo.
11 years ago
Mwananchi02 May
Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Straus Kahn aondolewa mashtaka
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Mtoto wa boksi aondolewa mashine
HALI ya mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi kwa miaka minne, inaendelea kuimarika baada ya kutolewa mashine maalumu ya kumsaidia kupumua. Siku mbili zilizopita, Nasra aliwekewa mashine na kupata...
9 years ago
Bongo507 Dec
#TECNOOwntheStage: Banye wa Tanzania aondolewa

Episode ya nne ya shindano la kusaka vipaji vya kuimba kwa mfumo wa karaoke linalohusisha nchi tatu, TECNO Own the Stage imeruka jana Jumapili kupitia Africa Magic Showcase.
Washiriki walipokuwa wakisubiri kujua hatma yao
Episode hiyo ilijumuisha washiriki wa kundi la 3 waliotakiwa kuimba nyimbo za kiafrika. Ikiwa na ushindani mkali, washiriki wa Tanzania waliopanda jukwaani ni pamoja na Banye, Mary, Jeff Mduma na Zooccu.
Hata hivyo Tanzania imepata pigo baada ya mshiriki wake Banye...
10 years ago
BBCSwahili25 Nov
Polisi aondolewa mashtaka Marekani
11 years ago
GPL
ANDY MURRAY AONDOLEWA US OPEN
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mtoto Satrine aondolewa risasi kichwani