Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi aondolewa mashtaka Marekani

Ghasia zimezuka nchini Marekani, baada ya wanasheria kuamua kutomfungulia mashtaka polisi wa kizungu aliyeua kijana mweusi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Straus Kahn aondolewa mashtaka

Kiongozi mkuu wa zamani wa shirika la fedha Duniani IMF, Dominique Strauss Kahn, ameondolewa mashtaka yote ya kujihusisha na makahaba kinyume cha sheria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wafunguliwa mashtaka Baltimore

Meya wa mji wa Baltimore anasema kuwa amehusunishwa baada ya polisi sita kushtakiwa kufuatia kifo cha mwananamme mweusi

 

9 years ago

Mtanzania

Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.

Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye    Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Mashtaka hayo yalisomwa upya jana  jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.

Kesi ilifutwa  baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...

 

11 years ago

Habarileo

Mkurugenzi wa Wanyamapori aondolewa

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amemuondoa katika nafasi yake Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa na kumteua Paul Sarakikya kukaimu nafasi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa yake aliyoitoa jana kwa vyombo vya habari, Nyalandu alisema amechukua hatua hiyo kutokana na kutoridhishwa na utendaji wa kazi wa idara hiyo katika mapambano dhidi ya ujangili, yanayoendelea nchini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wawili wauawa Marekani

Maafisa wawili wa polisi mjini New York Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi walipokuwa ndani ya gari lao eneo la Brooklyn.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi mzungu kutoshtakiwa Marekani

Polisi Mzungu anayetuhumiwa kwa kumpigia risasi Mmarekani mweusi, April mwaka huu hatokabiliwa na mashtaka yoyote.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi asimamishwa kazi Marekani

Polisi mzungu katika jimbo la Texas nchini Marekani amesimishwa kazi baada kuonekana akihangaisha kundi la vijana

 

9 years ago

Bongo5

#TECNOOwntheStage: Banye wa Tanzania aondolewa

Banye

Episode ya nne ya shindano la kusaka vipaji vya kuimba kwa mfumo wa karaoke linalohusisha nchi tatu, TECNO Own the Stage imeruka jana Jumapili kupitia Africa Magic Showcase.

Banye
Washiriki walipokuwa wakisubiri kujua hatma yao

Episode hiyo ilijumuisha washiriki wa kundi la 3 waliotakiwa kuimba nyimbo za kiafrika. Ikiwa na ushindani mkali, washiriki wa Tanzania waliopanda jukwaani ni pamoja na Banye, Mary, Jeff Mduma na Zooccu.
Hata hivyo Tanzania imepata pigo baada ya mshiriki wake Banye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani