Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi wafunguliwa mashtaka Baltimore

Meya wa mji wa Baltimore anasema kuwa amehusunishwa baada ya polisi sita kushtakiwa kufuatia kifo cha mwananamme mweusi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HIKI NDICHO KILICHOTOKEA HUKO BALTIMORE KUTOKANA NA MTITI WA FURUGU ZA RAIA NA POLISI


Uwanja wa Baltimore Orioles ulikuwa mweupe bila watu kutokana na ghasia za raia na polisi watu wote wameogopa kutoka nje na kwenda kushuhudia mchezo kati ya timu ya Baltimore Orioles na Chicago White Sox. Machafuko hayo yaliyosababishwa na tukio la kifo cha kijana mmoja aliekufa mikono mwa polisi hapo ndipo mtiti ulianza baada ya vijana hadi wazee kuingia mtaani na kuanza kuandamana sambamba na uharibifu wa mali za watu na magari kuchomwa moto.

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA YA POLISI WAFUNGULIWA MJINI MOROGORO

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akisalimiana na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro alipokua akiwasili kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu akiwasili na Mwenyekiti wa Tughe Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Alcado Nchinga jana mjini Morogoro kwenye ufunguzi wa Mkutano baraza la wafanyakazi idara ya Jeshi la Polisi. Mkuu wa Mkoa wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi aondolewa mashtaka Marekani

Ghasia zimezuka nchini Marekani, baada ya wanasheria kuamua kutomfungulia mashtaka polisi wa kizungu aliyeua kijana mweusi.

 

9 years ago

Mtanzania

Walioua polisi Stakishari wasomewa mashtaka upya

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam

UPANDE wa Jamhuri umewasomea upya mashtaka watuhumiwa 10 wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya watu saba wakiwamo askari.

Watu hao walifanya mauaji hayo kwenye    Kituo cha Polisi Stakishari wilayani Ilala, Dar es Salaam.

Mashtaka hayo yalisomwa upya jana  jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mbele ya Hakimu Mkazi, Thomas Simba.

Walisomewa mashtaka hayo muda mfupi baada ya kufutiwa kesi.

Kesi ilifutwa  baada ya Wakili wa Serikali Mwandamizi, Hellen Moshi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Maandamano mapya Baltimore Marekani

Kumetokea maandamano mapya nchini Marekani katika mji wa Baltimore kufuatia kifo cha kijana mweusi Freddie Gray aliyekufa kutokana na majeraha akiwa mikononi mwa polisi.

 

10 years ago

Vijimambo

MISA YA KISWAHILI YA THANKSGIVING YAFANYIKA BALTIMORE, MARYLAND

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiwasili Kanisani hapo kwenye misa la thanksgiving iliyofanyika leo Jumapili Novemba 30, 2014 Baltimore, Maryland nchini MarekaniPadri Honest Munishi akiongoza Misa ya Thanksgiving iliyofanyika leo Jumampili Nivemba 30, 2014 Baltimore, Maryland.
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani mhe. Liberata Mulamula akitoa shukurani zake kwa mapadri waliongoza misa ya Thanksgiving na kusisitiza umoja...

 

9 years ago

Michuzi

MISA TAKATIFU YA KUMBUKUMBU YA NYAMITI LUSINDE BALTIMORE, MARYLAND

 Picha ya mpendwa wetu Nyamiti Ivan Lusinde ikiwa kanisani siku ya Jumapili Novemba 22, 2015 siku ilikofanyika misa takatifu ya kumbukumbu na kuhudhuriwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa ameongozana na mkewe pamoja na mwanae. Nyamiti alikua mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani alipatwa na mauti alipokua likizo Tanzania katika hospitali ya Kariuki alipokua amekwenda kwa matibabu baada ya kuugua ghafla alipokua huko na baadae kuaga Dunia Novemba...

 

10 years ago

Michuzi

FATHER EVOD SHAO AAGWA KWA KISHINDO BALTIMORE MD.

IMG_9800Fr. Shao wa kanisa la Katoliki Balktimore anayeongoza Parokia hiyo pamoja na misa za Kiswahili DMV akiwa na Padre anayechukua nafasi yake Fr.Honest Munishi Jumapili katika ibada maalum ya kumwaga Padre Shao iliyofanyika huko Baltimore Maryland, Fr.Evoda Shao baada ya kuhudumu kwa miaka 9 sasa anarudi kuendelea na huduma nyumbani Tanzania. IMG_9827Mapadre wakiongoza ibada. IMG_9927Balozi wa Tanzania Washington Dc na Mexico Mh.Liberata Mula mula akitoa maneno ya kumuaga Fr.Evod Shao. IMG_9917Mwakilishi kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani