MWANANGU ANA KICHWA KIKUBWA LAKINI SIMTUPI!
![](http://api.ning.com:80/files/jPrLLXuRuu6bQE*kDV3tv7ztyqeLn*IOBGlo6g-1JG-JS7uMZeI-5bJrWrcZglGq7HmZN9c0Qbvo6NGll5Okj7h*i6VzRPUY/mtotoo.jpg)
Stori: Haruni Sanchawa “Mwanangu ana kichwa kikubwa lakini simtupi,†yalikuwa ni maneno ya kuhuzunisha ya mama wa mtoto Laurent Marykion ambaye amezaliwa miezi saba iliyopita katika mji mdogo wa Mikumi mkoani Morogoro na  anateseka kutokana na tatizo la kuvimba kichwa. Mtoto Laurent Marykion akiwa amelala. “Baada ya kuzaliwa na kufikisha miezi mitatu, alipatwa na tatizo hili la kuvimba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani jana Jijini Dar es salaam....
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, yafana MOI
Meneja Ustawi wa Jamii na Mahusiano wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Jumaa Almasi akizungumza kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dk, Othman Kiloloma wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kichwa Kikubwa na Mgongo wazi Duniani 2015, aliomba kuitumia siku hiyo kwa kusheherekea siku hiyo adhim amabayo nisiku maalum kwa sababu vijana wetu ambao tunawaongelea leo hi kwetu sisi ni wagonjwa kwa maana yakwamba Tiba yao yote kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s72-c/unnamed%2B(84).jpg)
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika leo jijini Dar es salaam.
![](http://3.bp.blogspot.com/-O3uRP5vH3Nw/VEvTPd-wOsI/AAAAAAAGtX8/DwJwOsJGljo/s1600/unnamed%2B(84).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-14CSpDCHKPE/VEvTQL1ZBwI/AAAAAAAGtYU/cuSwBhMRYxg/s1600/unnamed%2B(85).jpg)
10 years ago
Bongo524 Jan
H.Baba: Mwanangu Tanzanite ana meneja wake na ‘soon’ ataanza kufanya matangazo
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
JK ana nia njema lakini dhaifu?
NIMESIKIA mara kadhaa baadhi ya watu wa karibu na Rais Jakaya Kikwete wakisema kwamba; “Hana uwezo wa kusimamia mchakato wa Katiba Mpya.” Miongoni mwao ni Wana CCM ambao hawataki Katiba...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-K5uJsZr3gmc/VYVkiiycGKI/AAAAAAAC7J0/TPkNN-oU1Fo/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA
![](http://2.bp.blogspot.com/-K5uJsZr3gmc/VYVkiiycGKI/AAAAAAAC7J0/TPkNN-oU1Fo/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZY_GxMDI6Bw/VlG7uDgQfmI/AAAAAAAIHws/zg64ojnKZIU/s72-c/001d3aac-efa1-49d1-9e98-c2ad7f75c7af.jpg)
ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZY_GxMDI6Bw/VlG7uDgQfmI/AAAAAAAIHws/zg64ojnKZIU/s640/001d3aac-efa1-49d1-9e98-c2ad7f75c7af.jpg)
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Ana kwa ana na mwana wa gwiji wa taarab Tz