Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maunda Zorro adai hawezi kuendelea kufanya muziki wakati haumlipi

Maunda Zorro amesema ameamua kuuweka pembeni muziki na kuamua kufanya biashara zake binafsi. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bora afanye biashara zinazomlipa kuliko kuendelea kufanya muziki usiomlipa. “Sijatoa kazi yoyote na sina mpango wa kutoa, kuna vitu vingine nafanya siwezi kufanya kitu ambacho hakinilipi,” amesema. “Kwahiyo kuna vitu vingine nafanya vya kuendesha maisha na kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Maunda Zorro ataja sababu iliyomkatisha tamaa na muziki

Ukimya wa Maunda Zorro aliyewahi kufanya vizuri na nyimbo kama ‘Niwe Wako’ na ‘Mapenzi ya Wawili’ umetokana na kile alichodai baadhi ya watu kuingilia muziki na kujifanya nao ni wafanyabiashara wa muziki. Maunda ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa watu hao huwasaidia wasanii wanaofanya nao biashara huku wengine wakiachwa. “Kwahiyo hawa nao wana wanamuziki wao, hawawezi […]

 

9 years ago

Bongo5

Julio adai hatokata tamaa na muziki hata kama haumlipi

Mshiriki wa BBA Julio

Staa wa muziki na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2012, Julio Batalia, amesema hategemei muziki umlipe kwani bado yupo kwenye hatua za kujitangaza.

Julio

Julio ameiambia Bongo5, kuwa ingawa muziki umekuwa wa gharama kubwa katika maandalizi, hana budi kuendelea kufanya hivyo hivyo ili kujitenga.

“Mimi naamini muziki ni process ya muda mrefu,” amesema. “Kwahiyo mafanikio huenda yakachelewa lakini yatakuja tu. Kwahiyo mimi nipo katika stage hiyo sijali sana muziki unilipe kwa sasa kwa...

 

9 years ago

TheCitizen

There is no money in music, says Maunda Zorro

he was at one point considered as one of the brightest stars of Bongo Flava and after years in oblivion singer Maunda Zorro has thrown in the towel.

 

9 years ago

Bongo5

Jux adai hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa

Mwimbaji wa muziki wa R&B, Jux amesema hawezi kufanya show za kampeni za kisiasa kwa kuogopa kuwachanganya mashabiki wake. Akizungumza na kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Jux alisema akipanda kwenye majukwaa ya siasa itakuwa ni kama anawashinikiza mashabiki wake kuchagua viongozi wasiowataka. “Watanzania tulivyo, mimi kama kuna mtu ananipenda mpaka akaamua kuchora Jux au […]

 

9 years ago

Bongo5

Godzilla adai hawezi kuuza utu wake kwa show siasa

Rapper Godzilla amewaunga mkono Weusi na wasanii wengine kwa kusema kuwa hawezi kufanya show za kisiasa ili kumsupport mgombea fulani. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Zizi alisema hawezi kuuza utu wake kwa pesa. “Sasa hivi politics zimetawala, wasanii ni politics, mimi sio politics, siwezi kufanya hivyo na kitambulisho cha kura sasa […]

 

9 years ago

Bongo5

Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake

Rapper Mabeste amesema ataendelea kubaki na tattoo ya jina la mpenzi wake Lisa hata kama wataachana. Akizungumza na kipindi cha XXL, Mabeste alisema hata akiachana na mpenzi wake Lisa ataendelea kubaki na tattoo hiyo kama kumbukumbu kwenye maisha yake. “Hata kama let say mfano tumeachana, nitakuja kuanzisha maisha mengine na mke mwingine, yeye ataendelea kuwepo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani