Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DOWNLOAD : ROMA ft. STAMINA, WALTER CHILAMBO & MAUNDA ZORRO - #MWANAKONDOO

Jamtz.com

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Roma asimulia ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye ‘Mwanakondoo’

‘Mwanakondoo’ ni wimbo wa Roma uliotoka mwishoni mwa mwaka jana 2014, ambao aliwashirikisha Stamina, Maunda Zorro na Walter Chilambo. Kwa kawaida huwa kunakuwa na sababu zinazowakutanisha wasanii hadi kufikia hatua ya kukubaliana kufanya kazi, na Roma amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kumshirikisha Stamina kwenye wimbo huo. Kupitia Planet Bongo ya EA Radio, Roma amesema kuwa beat […]

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Baraka Ft Niccolazzo & Walter Chilambo – Kibingwa

Video mpya kutoka kwa rapper Baraka akiwashirikisha Niccolazzo na Walter Chilambo wimbo unaitwa “Kibingwa”

 

9 years ago

Bongo5

Music: Viva Conscious Ft. Stamina & Water Chilambo – Piga Chini

Wimbo mpya wa rapper Viva Conscious unaitwa “Piga Chini” amewashirikisha Stamina na Water Chilambo Producer Mesen Selekta. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

TheCitizen

There is no money in music, says Maunda Zorro

he was at one point considered as one of the brightest stars of Bongo Flava and after years in oblivion singer Maunda Zorro has thrown in the towel.

 

9 years ago

Bongo5

Maunda Zorro ataja sababu iliyomkatisha tamaa na muziki

Ukimya wa Maunda Zorro aliyewahi kufanya vizuri na nyimbo kama ‘Niwe Wako’ na ‘Mapenzi ya Wawili’ umetokana na kile alichodai baadhi ya watu kuingilia muziki na kujifanya nao ni wafanyabiashara wa muziki. Maunda ameliambia gazeti la Mwananchi kuwa watu hao huwasaidia wasanii wanaofanya nao biashara huku wengine wakiachwa. “Kwahiyo hawa nao wana wanamuziki wao, hawawezi […]

 

9 years ago

Bongo5

Maunda Zorro adai hawezi kuendelea kufanya muziki wakati haumlipi

Maunda Zorro amesema ameamua kuuweka pembeni muziki na kuamua kufanya biashara zake binafsi. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bora afanye biashara zinazomlipa kuliko kuendelea kufanya muziki usiomlipa. “Sijatoa kazi yoyote na sina mpango wa kutoa, kuna vitu vingine nafanya siwezi kufanya kitu ambacho hakinilipi,” amesema. “Kwahiyo kuna vitu vingine nafanya vya kuendesha maisha na kwenye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani