Aslay adai hajutii kumweka wazi mpenzi wake
Muimbaji wa Yamoto Band, Aslay amesema kumweka wazi mpenzi wake kumempunguzia usumbufu kwa kiasi kikubwa. Aslay akiwa na mpenzi wake Aslay ameiambia Bongo5 kuwa alitumia njia hiyo ili kuwapunguza wasichana waliokuwa wakimnyemelea. “Unajua sisi ni public, wengi wanakuangalia kwa mtazamo tofauti, lakini kwa upande wangu uamuzi wa kumweka mpenzi wangu wazi kila mtu amjue kimenisaidia […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo521 Oct
Mabeste adai hawezi kujuta kujichora tattoo ya jina la mpenzi wake
9 years ago
Bongo502 Nov
Aunty Ezekiel adai hajutii kuwa na Mose Iyobo
![Aunt Ezekiel](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Aunt-Ezekiel-94x94.png)
9 years ago
Bongo508 Oct
Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005
10 years ago
Bongo506 Mar
Aslay adai Yamoto Band haiwezi kushuka kwasababu wamejipanga kikamilifu
9 years ago
Bongo513 Oct
Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake
9 years ago
Mtanzania21 Nov
HUDDAH AMUWEKA WAZI MPENZI MWINGINE
NAIROBI, KENYA
MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia akaunti yake ya
Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake mpya.
Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.
Huddah aliandika: “Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye uhusiano na mwanaume...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Shahidi adai alikuwa mpenzi wa mlalamikaji
11 years ago
Dewji Blog14 Jul
David Beckham aonyesha wazi ushabiki wake kwa Argentina baada ya kuwavisha watoto wake jezi za timu hiyo
Family outing: David Beckham and his three sons Brooklyn, Cruz and Romeo were all in attendance – with the boys all wearing Argentina kits.
Family ties: Beckham’s youngest son Cruz was also showing his support for Argentina in the team’s dark blue away kit.
Switched allegiances: David Beckham was in the crowd for the final with his young sons, including Romeo, 11, who was wearing an Argentina shirt.
Stars of the game: Former Brazilian internationals Kaka and Pele with Beckham before the...
11 years ago
Bongo Movies14 Jul
SHILOLE akataliwa ukweni kisa umri wake kuwa mkubwa kuliko mpenzi wake.
Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ hawamtaki kwa madai kuwa ana umri mkubwa kuliko ndugu yao.
Wakizungumza na Ijumaa Wikienda kwa nyakati tofauti, baadhi ya wanandugu hao (majina yanahifadhiwa) walisema umri wa Shilole siyo wa kuishi na ndugu yao, Mziwanda kwani hawaendani.
“Ukweli ni kwamba mapenzi hayaingiliwi lakini tunaumia kuona ndugu yetu katika penzi zito na...