Aslay adai Yamoto Band haiwezi kushuka kwasababu wamejipanga kikamilifu
Msanii wa muziki kutoka Yamoto Band, Aslay amesema wamejipanga vizuri kwenye Band kuhakikisha hawadondoki na kupotea kwenye game ya muziki. Aslay ameiambia Bongo5 kuwa kama msanii utaweza kujipanga kikamilifu kwenye kazi ya muziki ni vigumu kushuka. “Mkiwa vizuri na mnashukuru mwenyezi Mungu itakuwa vigumu kuanguka sisi kama Yamoto Band, ukiangalia kuanzia kwenye uongozi na wasanii […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Oct
‘Kijiji cha Yamoto Band’ kinakaribia kukamilika — Aslay
10 years ago
Dewji Blog04 Sep
Sauti Sol, Skylight Band na Yamoto Band wapagawisha wakazi wa Dar BEAUTY and MUSIC Night!
Kundi la muziki kutoka nchini Kenya Sauti Sol waking’ara kwenye Red Carpet mwishoni mwa juma kwenye BEAUTY and MUSIC Night uliofanyika kwenye fukwe za Escape One Mikocheni jijini Dar.
Petit Man (katikati) akishow love na wasanii wa bongo flava waliotumbuiza kwenye usiku huo maalum Kulia ni Mirror na Kushoto ni msanii wa bongo flava Jordan.
Mwanadada mrembo akishow love mbele ya camera yetu.
Petit Man Wakuache aking’ara kwenye Red Carpet.
Mirror na msanii mwenzake Jordan wakishow love...
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
SautiSol, Yamoto Band, Skylight Band na wengine kibao kupamba BEAUTY & MUSIC NIGHT kesho Escape One
#LIPALA DANCE Itachezeka kisawa sawa hapo kesho!
Tiketi zinapatikana kwenye vituo vifuatavyo
9 years ago
Bongo517 Aug
Aslay adai hajutii kumweka wazi mpenzi wake
10 years ago
Bongo521 Aug
French Montana asema hayuko na Khloe Kardashian kwasababu ya umaarufu wake, adai alitafsiriwa vibaya
9 years ago
Bongo513 Oct
Aslay adai asilimia 60 ya mafanikio yake yametokana na marehemu mama yake
9 years ago
We Were Not Bribed By Diamond17 Aug
Yamoto Band
AllAfrica.com
Famous Tanzanian band Yamoto has refuted reports that it was "bribed" by Diamond Platnumz to release a dis-track for his ex-girlfriend Wema Sepetu. During an interview with Word Is in Mombasa last week, the young crooners said that it was purely their ...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/N2NivL9JMd4/default.jpg)
9 years ago
Bongo530 Sep
Music: Yamoto Band — Imo