Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


French Montana asema hayuko na Khloe Kardashian kwasababu ya umaarufu wake, adai alitafsiriwa vibaya

Rapper wa ‘Don’t Panic’, French Montana amelazimika kutoa ufafanuzi wa kauli yake aliyoitoa kwenye mahojiano na jarida la Billboard kuwa anatumia umaarufu wa mpenzi wake Khloe Kardashian kwa faida. Huenda wakati anatoa kauli hiyo alikuwa anamaana tofauti na ilivyotafsiriwa na watu mbalimbali waliomshambulia kwa kumtumia Khloe. Montana ameiambia Access Hollywood Live kuwa comment yake ilitafsiriwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian alimpiga chini French Montana baada ya kugundua anammendea rafiki yake

Khloe Kardashian anadaiwa kuwa aliamua kumpiga chini mpenzi wake French Montana mapema mwezi huu baada ya kugundua kuwa alikuwa akimmendea rafiki yake.. Khloe na Malika Kwa mujibu wa mtandao wa Media Take Out, Khloe aligundua kuwa mpenzi wake alikuwa akitumiana ujumbe wa simu kwa siri na rafiki yake Malika Haqq. French Montana na Malika (kulia) […]

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian asema hakumpiga chini boyfriend wake James Harden, bado ni wapenzi

Baada ya Khloe Kardashian kukanusha kuwa hajarudiana na Lamar Odom licha ya kusitisha kesi ya kudai talaka, mdogo huyo wa Kim K amesema kuwa hajaachana na boyfriend wake ambaye ni mchezaji wa NBA, James Hardens kama ilivyoripotiwa. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la PEOPLE, alifafanua kwa kusema amekuwa muelewa sana katika kipindi hiki anachomuuguza mumewe […]

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

Shemeji wa Kanye West, Khloe Kardashian amekuwa bega kwa bega na mumewe Lamar Odom toka alipolazwa hospitali mara ya kwanza baada ya kukutwa hajitambui kutokana na kuzidisha dawa za kulevya huko Las Vegas. Hali ya Lamar ilimfanya Khloe kuamua kuachana na aliyekuwa boyfriend wake James Harded, na kufuta kesi ya kudai talaka na kuipa ndoa […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: French Montana Ft Puff Daddy – First Time

french-first-time

Rapper French Montana amemshirikisha Puff Daddy katika video yake mpya wimbo unaitwa “First Time”. Montana anajitayarisha kutoa album mpya mwakani “Mac & Cheese 4” amewashirikisha wasanii kama Kanye West, Miguel, Big Sean, na Travis Scott katika hiyo album.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Rick Ross ft. French Montana — What A Shame (Explicit)

Hii ni video Mpya kutoka kwa Rick Ross ya wimbo wa ‘What A Shame’ aliyo washirikisha Meek Mill na French Montana.

 

9 years ago

Mtanzania

Khloe Kardashian ammwaga James Harden

Kourtney Kardashian and Khloe Kardashian show Mason around a new schoolNEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO Khloe Kardashian, ameweka wazi kuachana na mpenzi wake, James Harden ambaye ni nyota wa kikapu wa timu ya Houston Rockets ambayo inashiriki Ligi Kuu ya NBA nchini Marekani.

Uhusiano wa wawili hao ulianza kuvunjika Novemba 8, baada ya hapo hadi sasa hawajaonekana pamoja.

Hata hivyo, Khloe ameweka wazi kwamba ataendelea kumuheshimu na kutoka naye kama rafiki wa kawaida.

“Kumekuwa na mambo mengi ambayo yalikuwa yanatokea kwenye uhusiano wetu, ila kwa sasa...

 

9 years ago

GPL

LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI

Staa wa kikapu Lamar Odom. WAKATI ikielezwa kuwa Khloe Kardashian amekuwa karibu na staa wa kikapu Lamar Odom ambaye amelazwa, habari ni kuwa Odom amemtimua mrembo huyo ambaye ni mke wake kutoka hospitali kutokana na kutumia ugonjwa wake kujipatia umaarufu.  Khloe Kardashian. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Lamar kupata nafuu na kujitambua, alipata malalamiko ya kuwa Khloe anatumia hali ya… ...

 

5 years ago

Showbiz Cheat Sheet

Tristan Thompson Is Using Quarantine With Khloe Kardashian to Fight for Her

Tristan Thompson Is Using Quarantine With Khloe Kardashian to Fight for Her  Showbiz Cheat SheetKhloé Kardashian Isn't Thinking About Dating Anyone Right Now  Cosmopolitan.comKris Jenner Urges Khloé Kardashian to Freeze Her Eggs | KUWTK | E!  Keeping Up With The KardashiansKhloe Kardashian’s Daughter True Shows Off Her Natural Afro While Playing With Dolls — Watch  HollywoodLifeKhloe Kardashian had the best response to questions about why she's single  cosmopolitan.comView Full coverage on...

 

9 years ago

Bongo5

Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian

Khloe Kardashian ameibuka na kuweka mambo sawa kuhusu uhusiano wake na Lamar Odom licha ya ripoti kuwa wawili hao wameamua kuipa ndoa yao nafasi nyingine. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la People, Khloe amesema kuwa licha ya kufuta kesi ya kudai talaka kwa mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, lakini haimaanishi kuwa wamerudiana. “Taarifa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani