Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105

POPULAR ON YOUTUBE

HUDDAH AMUWEKA WAZI MPENZI MWINGINE

Huddah-Monroe-Image-from-izvipi-533x600NAIROBI, KENYA

MREMBO ambaye hakauki kwenye vyombo vya habari nchini Kenya, Huddah Monroe, kupitia akaunti yake ya
Instagram, amemuweka wazi mpenzi wake mpya.

Huyo atakuwa mpenzi wake wa pili kumtambulisha mwaka huu, hivyo aonekana kuwa hawezi kudumu na mwanaume kwa muda mrefu tangu alipoachana na mkali wa kupiga pamba nchini humo CMB Prezzo.

Huddah aliandika: “Mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaweza kumbadilisha mwanamke mwenye tabia mbaya, hivyo nimerudi tena kwenye uhusiano na mwanaume...

Mtanzania

Read more

Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Huddah amkana mwanaume aliyedai kuwa mpenzi wake, aliyemtangazia Diamond dau la $40,000 ili amuache Zari

Baada ya mwanaume aliyedai kuwa ni mpenzi wa Huddah kujitokeza na kuupinga uhusiano wa Diamond na Zari The Boss Lady wa Uganda, Socialite wa Kenya Huddah Monroe naye ameibuka na kukana kuwa hajawahi kuwa na uhusiano na njemba huyo. Huddah alipost ujumbe mrefu Instagram ambao baadae aliufuta, wa kuelezea jinsi alivyokutana na jamaa huyo aitwaye […]

11 years ago

GPL

USITOE THAMANI YA MPENZI WAKO KWA MWINGINE!

UMEFUNGUA ukurasa sahihi kabisa wa kukupatia elimu juu ya uhusiano na mapenzi. Karibu mpenzi msomaji wangu katika All About Love ambayo kila siku inaibuka na mada nzuri zinazolinda uhai wa uhusiano na wenzi wetu. Marafiki leo nitazungumzia juu ya jambo muhimu sana ambalo limekomaa kwenye jamii yetu. Ni jambo linaloweza kusababisha matokeo mabaya kwenye uhusiano lakini kwa bahati mbaya wengi hawalioni.
Wengi (hasa wanawake)...

9 years ago

Bongo5

Aslay adai hajutii kumweka wazi mpenzi wake

Muimbaji wa Yamoto Band, Aslay amesema kumweka wazi mpenzi wake kumempunguzia usumbufu kwa kiasi kikubwa. Aslay akiwa na mpenzi wake Aslay ameiambia Bongo5 kuwa alitumia njia hiyo ili kuwapunguza wasichana waliokuwa wakimnyemelea. “Unajua sisi ni public, wengi wanakuangalia kwa mtazamo tofauti, lakini kwa upande wangu uamuzi wa kumweka mpenzi wangu wazi kila mtu amjue kimenisaidia […]

10 years ago

Bongo Movies

Wema sepetu azungumzia ishu ya kuajiriwa na kajala. Mpenzi wake kutoka na mtu mwingine na bifu zake.

Mitandao na magazeti siku chache zilizopita ilitoka stori ambayo ilidai Kajala anaelekea kumuajiri Wema Sepetu,leo Wema kapatikana na kakubali kuongelea isue hizo zote ikiwemo hiyo ya Kajala. 

Kupitia You heard ya  XXL ya Clouds Fm Soudy Brown alianza kwa kutaka kufahamu kama kweli Kajala anaweza kumuajiri yeye [Wema]. Wema Sepetu akamjibu>>’Inawezekana,kila kitu kinawezekana Soudy’

Kuhusu mshahara ambao anataka kulipwa na Kajala,Wema Sepetu amejibu>>’Kwa Kajala mi sihitaji mshahara hata...

Tanzania Daima

‘Posho tulidai wazi, kura iwe wazi’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ahmed Masoud Jongo amewataka wajumbe wasiogope kupiga kura za wazi kama walivyokuwa wakidai nyongeza ya posho hadharani.  Alitoa kauli hiyo juzi jioni alipokuwa akichangia...

9 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani