Pluijm: Nimenasa siri zote za Platinum
![](http://api.ning.com:80/files/4iGGfOEDayv3DMghE47Za9r9mXJ*dipYkBEQ*cMBBS5XaFW5ytF1JtoVETfYq7B*Iw*H6mRjS5FeZ8WG3sB*q1i1J6w1kzME/van.gif)
Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Nicodemus Jonas na Hans Mloli YANGA kesho Jumapili inacheza na FC Platinum ya Zimbabwe mechi ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amesema amenasa mbinu zote za wapinzani wao na ni lazima wawafunge. Kocha huyo raia wa Uholanzi, kikosi chake jana Ijumaa asubuhi kilifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Karume na baada ya mazoezi hayo,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen31 Mar
SOCCER:Pluijm ignores Platinum FC’s mind games
10 years ago
Mwananchi31 Mar
Balozi aipa Yanga siri za Platinum
9 years ago
Habarileo02 Oct
Pluijm atoboa siri Yanga
KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema siri kubwa ya kikosi chake kufanikiwa kuvunja mwiko wa kuifunga Mtibwa Sugar ilitokana na wachezaji wake kucheza kwa nidhamu ya kiufundi.
9 years ago
Habarileo24 Dec
Pluijm afichua siri ya usajili
KOCHA wa Yanga Mholanzi Hans van der Pluijm, ameweka wazi sababu ya kuendelea kusajili kwenye dirisha dogo ni kuifanya timu hiyo iwe bora Afrika. Alisema lengo ni kuepuka kikosi chake kutegemea baadhi ya wachezaji pindi wanapokuwa katika ushindani mkubwa kama ilivyo sasa.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*C1ULBW*XdrfP-wCXKwU8kE0PTCLgEfOtnGG7zoBjJ8eCuGmo3FDNARYIkVjSwFbm8pAMOGThwF-JekAnIX1G-M/pluijm.jpg)
Pluijm atoa siri ya Okwi kuondoka Yanga
9 years ago
Mzalendo Zanzibar02 Oct
CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI
Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]
The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Yanga yaipania Platinum
10 years ago
Habarileo09 Aug
Zutta kuuzwa FC Platinum
MCHEZAJI wa Yanga, Joseph Zutta huenda akauzwa katika timu ya FC Platinum ya Zimbabwe baada ya timu hiyo kuonesha nia ya kutaka kumsajili.