Balozi aipa Yanga siri za Platinum
Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Adadi Rajabu amesema wapinzani wa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika, FC Platinum sasa wanafanya mbinu zote usiku na mchana kuhakikisha wanashinda mchezo huo wa marudiano.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPluijm: Nimenasa siri zote za Platinum
Kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Nicodemus Jonas na Hans Mloli
YANGA kesho Jumapili inacheza na FC Platinum ya Zimbabwe mechi ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika lakini kocha wa timu hiyo, Hans van Der Pluijm, amesema amenasa mbinu zote za wapinzani wao na ni lazima wawafunge. Kocha huyo raia wa Uholanzi, kikosi chake jana Ijumaa asubuhi kilifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Karume na baada ya mazoezi hayo,...
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Makoye aipa Simba siri ya mafanikio
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Ephraim Makoye “Dogo†amewataka viongozi wa Simba kumaliza migogoro yao ya ndani kama kweli wanataka kufanya vyema katika mechi za Ligi Kuu ikiwepo ile ya Yanga Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
GPLYANGA YAICHABANGA PLATINUM 5-1
Wachezaji wa Yanga wakishangilia mojawapo ya mabao yao. Simon Msuva akiichambua ngome ya Platinum. Amissi Tambwe akipambana na mabeki wa FC Platinum wakati wa mechi ya leo.…
10 years ago
Mwananchi16 Mar
Yanga yaichakaza Platinum
Yanga imepiga hatua moja kuifuata Etoile Sahel ya Tunisia baada ya kuichakaza Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-1 na kujiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele kwa hatua ya pili ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
10 years ago
Mwananchi30 Mar
Yanga yaipania Platinum
Kocha msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa ‘Master’ amesema wako tayari kucheza uwanja wowote na Platinum hata kama ni jangwani katika mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika.
10 years ago
Vijimambo29 Mar
30 Yanga SC kuifuata Platinum Jumatano
Na Bertha Lumala, Dar es SalaamMsafara wa watu 30 wa Yanga SC, wakiwamo viongozi, utaondoka jijini hapa Jumatano kwenda Zimbabwe kwa ajili ya mechi yao ya marudiano ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Platinum FC, mtandao huu umeelezwa.Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro, katika mahojiano na mtandao huu jijini hapa muda mfupi uliopita, amesema kikosi chao kilichopiga kambi jijini hapa, kitasafiri kuwafuata wapinzani hao Aprili Mosi, yaani Jumatano.
Amesema kila kitu...
10 years ago
TheCitizen01 Apr
Yanga plot Platinum ambush
Kampala. A key trial in Uganda of 13 men accused of taking part in Al-Shabaab bombings that killed 76 people in 2010 was postponed Tuesday after the top prosecutor was shot dead.
10 years ago
Mwananchi15 Mar
Jeshi la Yanga SC laishukia Platinum
Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanashuka uwanjani leo kuikabili Platinum ya Zimbabwe katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Yanga yatamba kuifunga Platinum FC
Kocha wa Yanga, Mdachi Hans Pluijm amesema hawatabweteka na ushindi wa awali wa 5-1 dhidi ya Platinum FC ya Zimbabwe .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania