PETE YA SHILOLE YAIBUA MAZITO!
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ akiwa na bebi wake Zuwena Mohammed ‘Shilole’. Stori: Waandishi Wetu JAMBO limezua jambo, saa chache baada ya mwanadada mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya. Shilole...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Nyepesi Nyepesi:Pete Ya Shilole Yaibua Mazito!!
Mara tu baada ya mwanadada mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.
Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali waliohudhuria, ndipo Nuhu alipomsapraizi...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s1600/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Ziara ya mwandishi wa Uingereza yaibua mazito
MWANDISHI wa gazeti la Daily Mail la Uingereza, Martin Fletcher, aliyeletwa nchini na serikali, amezidi kuibua mazito baada ya Mhifadhi Mkuu wa Pori la Akiba la Selous, Benson Kibonde, kusema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TQDVHBx0tuUxc9d5-a-W2-oLTYnSzItJoHgqiMv9QqsihFbVWH9w1FcyHaUecKCyvk5ujEkD-pD6oYZdHG1r-l6HtuzE46wJ/SANDRA27.jpg?width=650)
SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCzAm7eUTP4rYGGgB-upZkXEeKiGwmUAUmGIvQq9EQA0sUHxcFehHh8A1SoD*qVq5d87fN7XjZBvVm4GtCUOYlYr/Shilole.jpg?width=650)
SHILOLE AWAVAA WANAOPONDA PETE YAKE
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
Bongo522 Dec
‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...