SHILOLE AWAVAA WANAOPONDA PETE YAKE
![](http://api.ning.com:80/files/TuH-vYM0DCzAm7eUTP4rYGGgB-upZkXEeKiGwmUAUmGIvQq9EQA0sUHxcFehHh8A1SoD*qVq5d87fN7XjZBvVm4GtCUOYlYr/Shilole.jpg?width=650)
Na Shani Ramadhani STAA wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewavaa baadhi ya watu wanaoponda kitendo cha yeye kukubali kuvishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa siku nyingi, Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kwa maelezo kuwa ni kama maigizo kwani ndoa hakuna. Staa wa muziki na filamu Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ akionyesha pete aliyovishwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLPETE YA SHILOLE YAIBUA MAZITO!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/TQDVHBx0tuUxc9d5-a-W2-oLTYnSzItJoHgqiMv9QqsihFbVWH9w1FcyHaUecKCyvk5ujEkD-pD6oYZdHG1r-l6HtuzE46wJ/SANDRA27.jpg?width=650)
SANDRA: SHILOLE USIDANGANYIKE NA PETE YA UCHUMBA
10 years ago
Bongo Movies21 Dec
Shilole Avishwa Pete ya Uchumba na Nuh Mziwanda
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku huu akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
Sandra Amshauri Shilole Asidanganyike na Pete ya Uchumba
Mwigizaji mkongwe wa filamu hapa Bongo, Salama Salmini ‘Sandra’ amemshauri msanii mwenzake, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ kupigania kuolewa na mwandani wake, Nuhu Mziwanda ambaye alimvisha pete ya uchumba siku chache zilizopita kwa kuwa kitendo hicho kwa sasa kimeshazoeleka.
Akipiga stori na paparazi wa GPL, Sandra alisema anafagilia sana mapenzi ya wawili hao kwani anaona wanaendana pamoja na utofauti wa umri uliopo anamtaka Shilole ahakikishe anaolewa haraka iwezekanavyo kwani hata mwanadada...
10 years ago
Bongo522 Dec
‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
MAZITO NA MAPYA YAIBUKA BAADA YA SHILOLE KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA, UMRI NA MICHEPUKO VYAHUSIKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n0CH1WcSCj0/VJq-vj5PxgI/AAAAAAAArSM/bs2KzmB8oZ0/s1600/Screen%2BShot%2B2014-06-05%2Bat%2B19.26.42.png)
10 years ago
Bongo Movies24 Dec
Nyepesi Nyepesi:Pete Ya Shilole Yaibua Mazito!!
Mara tu baada ya mwanadada mwaigizaji wa filamu na mtafutaji kunako tasnia ya muziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, kuvalishwa pete ya uchumba na mchumba wake, Naftari Mlawa ‘Nuhu Mziwanda’ tayari watu wameanza kuisengenya.
Shilole alivalishwa pete hiyo katika sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika katika ‘apartment’ za Baraka Plaza, Mikocheni jijini Dar ambapo mara baada ya mwanadada huyo kukata keki na kuwalisha watu mbalimbali waliohudhuria, ndipo Nuhu alipomsapraizi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KBI*TiKs6pJE3SW*8zV3ubrwyaTIwbeOR4svrIERsHgP9t7O8R0JS0qF79S*Jr8AjllnPojxjDMTjw9dZ*aDbNMPJz0jDlUp/DIAMON.jpg?width=650)
DIAMOND WIMBO WAKE WA KWANZA ALIUREKODI KWA FEDHA ZA KUMTAPELI PETE MAMA YAKE
10 years ago
Bongo Movies24 Mar
Hayawi Hayawi: Wema Aonyesha Pete Yake ya Uchumba
Leo katika pita pita zangu kwenye kurasa za mastaa mtandaoni nimekutana na hii picha ya madam kwenye ukurasa wa mmoja kati ya wapambe wake na kuandikiwa maneno “Ni nini Icho kwani kidolen?”.
Picha hii ya Madam imeibua komenti kabao huku wengine wakisifia na kutoa vijembe kwa wale wanaochonga sana kuhusu madam, huku wengine wakiendelea kuponda kuwa madamu anajifariji tu kutokana na kile wanachodai kuwa mapigo ya Diamond na Zari yanampeleka puta.
Nimnyukano tu wamaneno unaoendelea huko...