Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EFM 93.7 NA TABATA VETERANI WASHINDWA KUTAMBIANA

Dakika 90 za mtanange wa mpira wa miguu kati ya kikosi kamili cha Timu ya EFM 93.7 dhidi ya Tabata Veterani zilimalizika kwa sare ya bila kufungana, katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa shule ya msingi Tabata jijini Dar es salaam. Burudani hii ya mpira ilishuhudiwa na mamia ya wakazi wa Tabata waliovutiwa kuona wafanyakazi wa Efm wakiwemo Rdj’s na watangazaji wakisakata kabumbu.Kikosi cha kazi cha EFM 93.7 chini ya kiongozi na nahodha wake Ssebo (wa pili kushoto waliosimama) kikiwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

EFM VS BOKO BEACH VETERANI

Timu kabambe ya soka ya E-FM imeufunga mwaka kimichezo kwa kipute cha dakika 90 za mpira wa miguu dhidi ya maveterani wa Boko Beach katika uwanja wa Boko Beach jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. E-fm ilifanikiwa kutawala mchezo katika kipindi cha kwanza na kuweza kuzitandika nyavu za Boko Beach Veterani mara mbili. Kasi ya mchezo ilibadilika katika kipindi cha pili baada ya E-FM kuandika bao lake la tatu kupitia nyota wake John Makundi. Bao  hilo liliamsha kikosi cha Boko Beach Veterani...

 

9 years ago

Michuzi

Kivule Veterani yaibuka kidedea mbele ya EFM

Mechi ya Mpira wa miguu kati ya E-fm Vs Kivule Veterani iliyochezwa wikiendi hii huko Ukonga, Dar es salam, ilimalizika huku E-fm ikiruhusu washambuliaji wa Kivule Veterani kuziona nyavu mara mbili wakati  Efm wakiliona lango lao mara moja kupelekea matokeo kuwa 2 – 1, na ushindi kwenda Kivule Veterani  ambao waliutumia vyema  uwanja wao wa nyumbani Watangazaji wa vipindi vya Sports Headquarters na E Sports, Soud Mkumba na Oscar Oscar wakizungumza na mashabiki kabla ya kushuka dimbani.Picha...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA VETERANI YATWAA KOMBE LA PSPF BAADA YA KUINYUKA SIMBA VETERANI NA

Nahodha wa timu ya maveterani wa Yanga, Salvatory Edward, akipokea kombe kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, baada ya kuinyuka Simba Veterani kwa penati 5-4 kufuatia sare ya mabao 1-1 katika pambano la bonanza lililodhaminiwa na mfuko huo na kupigwa kwenye uwanja wa Bandari Tandika, wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo jioni Alhamisi Januari 1, 2015. Kufuatia ushindi huo Yanga veterani pia walijinyakulia kitita cha shilingi milioni 1, wakati watani wao...

 

9 years ago

GPL

MOSHI VETERANI YAWACHAKAZA BOKO VETERANI

Nahodha wa Moshi Veterani, Jafari Kiango (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Boko, Godfrey Malekano ‘Messi’, zawadi ya Mchezaji Bora wa Mwezi kwa niaba ya Zizzou Fashion, muda mfupi baada kumalizika kwa mchezo huo. Kikosi cha timu ya Boko Beach Veterani kikiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya mchezo huo kuanza. TIMU ya wakongwe ya Moshi Veterani wikiendi iliyopita iliitembezea kichapo dhidi ya Boko...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

10 years ago

Mwananchi

Yanga na Azam zashidnwa kutambiana

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka sare 2-2 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Redd’s Miss Iringa waanza kutambiana

WASHIRIKI wanaowania taji la Redd’s Miss Iringa 2014 wameanza kutambiana kila mmoja akidai ndiye ataibuka kidedea katika ukumbi wa St. Dominic mjini hapa, Juni 20. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na...

 

9 years ago

Michuzi

MTIBWA SUGAR, JKT RUVU ZASHINDWA KUTAMBIANA

Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Adrew Vicent katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Francis Dande) Mchezaji wa JKT Ruvu, Abdulrahaman Mussa (kulia) akitafuta mbinu za kumtoka Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mohamed Ibrahim katika mchezowa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Karume. Timu hizo zilitoka suluhu.  Mchezaji wa JKT Ruvu,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani