Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Athari za moto masoko ya Mbeya bado zipo

Kwa kipindi cha miaka 10, Jiji la Mbeya liliunguliwa na masoko manne makubwa na maarufu, likiwamo la Mwanjelwa ambalo lilikuwa na wafanyabiashara karibu 9,00.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Masoko kwa wakulima bado kitendawili

Kilimo ni sekta mama kwa uchumi wa Tanzania, inaajiri karibu asilimia 80 ya Watanzania, wengi wao wakiishi vijijini. Mbali na ajira, kilimo ndiyo chanzo kikuu cha chakula kwa taifa na huchangia asilimia 50 ya Pato la Taifa na asilimia 75 ya mauzo ya nje.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO KILWA MASOKO USIKU WA KUAMKIA LEO

Na Abdulaziz Ahmeid,Kilwa Masoko 
Familia moja ya Bw Bernad Towele dereva wa Gari la Takukuru Wilayani Kilwa Imenusurika baada ya Nyumba waliyokuwa wakiishi kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia katika mji mdogo wa kilwa masoko.
Akithibitisha kutokea kwa tukio la Ajali hiyo iliyotokea majira ya saa 6 usiku kuamkia leo,Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,Joseph Mfungomara alieleza kuwa chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana ila hakuna majeruhi.
Kamanda Mfungomara alimalizia kuwa Vitu...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AKAGUA ATHARI ZA MOTO KATIKA HOTELI YA KITALII YA KARAFUU BEACH RESORT

Baadhi ya Majengo ya Haoteli ya Karafuu Beach Resort Spa ya Michamvi yaliyoungua kwa moto usiku wa kuamkia juzi na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.Bwawa la Hoteli ya Karafuu Beacha Resort Spa likionekana kuathirika na moto ulioikumba Hoteli hiyo juzi alfajiri.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kafaruu Beach Resort Spa Bwana Zakaria Juma wakiangalia baadhi ya majengo yaliyoteketea kwa moto juzi alfajiri.Maneja wa Hoteli ya Karafuu Beach Resort Bwana...

 

10 years ago

GPL

ESCROW BADO MOTO

Na Mwandishi Wetu
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiwa amemuwajibisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka kufuatia kumegewa mgawo wa fedha za Tegeta Escrow, binti anayedaiwa kuwa mwanaye, amejikuta akipata wakati mgumu baada ya kumtetea mama yake kupitia mitandao ya kijamii. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Anna Tibaijuka. Katika Mtandao wa Twitter, binti huyo aliyejitambulisha kwa jina...

 

9 years ago

CCM Blog

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO



Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .

Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo .
Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya.

Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko

Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya . Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo . Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya. Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kura ya siri, wazi bado moto

MBUNGE wa Kisarawe, Selemani Jafo (CCM), amependekeza watoto watumike kuamua aina gani ya kura itumiwe na Bunge Maalumu la Katiba katika kufanya uamuzi. Hatua hiyo ni kutokana na utata ambao...

 

9 years ago

Mwananchi

Majimbo Ukawa hadharani, 12 bado moto

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya 265 ya ubunge huku 12 yaliyokuwa kwenye mvutano yakibaki kiporo.

 

10 years ago

Vijimambo

MADUKA MBEYA BADO NI KITENDAWILI

Wakaazi wa jijini Mbeya wakiwa hawajui la kufanya baada ya wenye maduka yao jijini hapa kugoma kufungua maduka yao kutokana na kinachodaiwa ya kutopewa dhamana kwa mwenyekiti Taifa wa wafanyabishara huku akitaka aachiwe huru.Maduku jijini Mbeya yakiwa yamefungwa.Maduka yakionekana bado yamefungwa.Ni shiida jijini Mbeya.Hii ndiyo hali halisi maduka bado hayajafunguliwa leo siku ya pili 
Picha na Mbeya yetu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani