Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko

Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya . Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo . Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya. Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO



Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .

Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo .
Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya.

Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) linakaribisha maombi ya kujiunga na ualimu 2015/2016

002

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo  Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne  Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali  kama zinavyopatikana kwenye  tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji  watakao...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Kawambwa azindua jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa (katikati)akikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la Mitihani la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi(NACTE) kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji wa (NACTE) Dkt. Primus Nkwela,Kamishina wa Elimu Profesa Uestella Bhalalusesa,Naibu Katibu Mkuu wa Wizara wa wizara hiyo Consolata Mgimba na Mwenyekiti wa barabaza la Taifa la Elimu ya Ufundi Mhandisi Steven Mlote.Hafla hiyo ya Uzinduzi ilifanyika katika makao makuu ya ofisi hizo...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI(NACTE)LINAKARIBISHA MAOMBI YA KUJIUNGA NA UALIMU 2015/2016

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) Dkt. Primus Nkwela (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwenye Makao makuu ya ofisi hizo  Mikocheni B jijini Dar es Salaam, Wakati akiutangazia Umma juu ya kukaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu kwa mwaka wa masomo 2015/2016 kwa vijana waliomaliza kidato cha Nne  Oktoba 2014. na wengine wenye sifa mbalimbali  kama zinavyopatikana kwenye  tovuti ya baraza hilo:www.necte.go.tz.Waombaji  watakao...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) na Ugavi (BPLM) yafana TIA

Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada hiyo jana katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam.

 Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

CBE kuanzisha shahada ya elimu

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kitaanzisha mafunzo ya shahada ya uwalimu wa biashara, wanaohitajika katika soko la ajira hapa nchini. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa chuo hicho, Profesa...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU,SAYANSI,TEKNOLOGIA NA UFUNDI PROFESA. JOYCE NDALICHAKO ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NACTE

 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako, akitembezwa katika maeneo ya ofisi za Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) jijini Dar es salaam jana na Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk.Primus Nkwera. Waziri huyo alikuwa katika ziara ya kutembelea taasisi za elimu zilizochini ya wizara yake. Na Mpigapicha wetu. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako (kushoto), akisisitiza jambo, alipokuwa akizungumza na wafanykazi wa Baraza...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU AFUNGUA BARAZA LA PILI LA WATUMISHI WA TAASISI YA UHASIBU,PROFESA KAMZORA AMFANANISHA NA NYERERE

Mkutano wa Raraza la pili la Watumishi wa Taasisi ya Uhasibu likiendelea. Mwenyekiti wa Baraza la pili la Watumishi wa Taasisi ya Uhasibu Ndugu,Jairo akifafanua kazi za Baraza hilo katika Vyuo vya uhasibu Nchini.Naibu Waziri wa Fedha(S) Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo,Kubwa amesisitiza mfumo mpya wa uajiri wa watumishi wa Umma ambao utakidhi mahitaji ya wahadhiri vyuoni na hata kwenye Taasisi zingine,Taasisi za Elimu na fedha zingepewa mamlaka ya kuajiri...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI CHATO LATOA TUZO ZA ELIMU

Baraza la madiwani la halimashauri ya wilaya ya chato katika kikao chake robo ya nne, limetunuku vyeti, ngao na pesa Taslimu ikiwa ni pongezi kwa shule na kata zilizofanya vizuri katika mtihani wa darasa la saba 2014.
Shule binafsi zilizoongoza ni shule ya msingi Kadama (Kadama English medium), ikifuatiwa na shule ya msingi Emau ( Emau english medium) zote zipo wilayani Chato. Shule za serikali zilizoongoza ni shule ya msingi Magiri iliyoshika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani