CBE kuanzisha shahada ya elimu
CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kitaanzisha mafunzo ya shahada ya uwalimu wa biashara, wanaohitajika katika soko la ajira hapa nchini. Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa chuo hicho, Profesa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboChuo cha CBE Kuaza kutoa Shahada ya Elimu katika Masuala ya Biashara.
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam.Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa kufundishia...
10 years ago
GPLCHUO CHA CBE KUTOA SHAHADA YA ELIMU KATIKA MASUALA YA BIASHARA.
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza  wakati  wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise...
10 years ago
Dewji Blog26 Mar
Chuo cha CBE kuanza kutoa shahada ya elimu katika masuala ya biashara
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es salaam (CBE) Prof. Emanuel Mjema akizungumza wakati wa mkutano wa wadau na wataalam wa elimu kutoka Taasisi za Elimu, vyuo, walimu wa masomo ya Biashara wa shule za Sekondari waliokutana kupitia Mtaala wa kufundishia mafunzo ya taaluma ya Ualimu katika Biashara leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Mafunzo ya awali wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Dkt. Esther Mbise akitoa ufafanuzi kwa wadau wa Elimu kuhusu uandaaji wa mtaala wa...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .
Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo .
Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya.
Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu...
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .
Baadhi ya wahadhiri wa Taasisi hiyo ya Uhasibu (TIA) Kampasi ya Mbeya wakiandamana kuelekea uwanjani tayari kwa mahafali hayo .
Wahitimu wakiwa katika maandamano hayo ya Mahafali ya kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa Kampasi ya Mbeya.
Meza kuu wakipokea maandamano ya wahitimu katika...
11 years ago
Mwananchi27 Jun
CBE, Finland kutoa PhD ya elimu na elimu mazingira
>Chuo cha Bishara Dar es Salaam (CBE) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Eastern Finland (UEF), kwa pamoja wameanzisha program kwa masomo ya stashahada ya uzamivu (PhD) katika fani ya elimu na mazingira ya elimu.
10 years ago
VijimamboMKUTANO WA WAHITIMU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Mbeya Mh. Johm Mwakangale ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika Mkutano wa wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wanaoishi nyanda za Juu kusini waliowahi kusoma katika chuo hicho kuanzia mwaka 1965-2014 na yeye akiwa ni mmoja wa wanafunzi ambaye alisoma katika chuo hicho mwaka 1967 na ambaye pia alikuwa ni Mkufunzi katika chuo hiki na Mlezi wa Umoja wa wana CBE waishio nyanda za juu kusini akitoa hotuba yake ambapo, alikishukuru chuo cha CBE kwa kufanya mkutano huu...
10 years ago
Vijimambo06 Dec
MAHAFALI YA 49 YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA(CBE) KAMPASI YA MBEYA YAFANA.
Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akitoa tamko la kuwatunuku vyeti vya Astashahada katika fani za ununuzi na ugavi, uhasibu na uendeshaji wa biashara Wahitimu 37 katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanya vya Mbeya Hotel. Mkuu wa Chuo cha elimu ya Biashara Kampasi ya Mbeya, Dionise Lwanga akitoa neno la Shukrani kwa mgeni rasmi baada ya kumaliza kuwatunuku wahitimu katika mahafali ya 49 ya Chuo hicho. Makamu...
11 years ago
MichuziNSSF YATOA ELIMU KUHUSU HIFADHI YA JAMII KWA WANACHUO WA CBE
Mkurugenzi wa Wanafunzi wanaochukua Mafunzo ya Shahada ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Dk. Esther Mbise akimkaribisha mgeni rasmi, Meneja Kiongozi Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii ( NSSF), Eunice Chiume (katikati),wakati wa Semina kwa wanafunzi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), iliyofanyika katika chuoni hapo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Idara ya Masoko chuoni hapo, Felix Chale. Jumla ya wanachuo 180 walihudhuria semina hiyo.
Meneja...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania