MWIGULU AFUNGUA BARAZA LA PILI LA WATUMISHI WA TAASISI YA UHASIBU,PROFESA KAMZORA AMFANANISHA NA NYERERE
Mkutano wa Raraza la pili la Watumishi wa Taasisi ya Uhasibu likiendelea.
Mwenyekiti wa Baraza la pili la Watumishi wa Taasisi ya Uhasibu Ndugu,Jairo akifafanua kazi za Baraza hilo katika Vyuo vya uhasibu Nchini.
Naibu Waziri wa Fedha(S) Mh.Mwigulu Nchemba akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo,Kubwa amesisitiza mfumo mpya wa uajiri wa watumishi wa Umma ambao utakidhi mahitaji ya wahadhiri vyuoni na hata kwenye Taasisi zingine,Taasisi za Elimu na fedha zingepewa mamlaka ya kuajiri...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)LATOA KIBALI KWA TAASISI YA UHASIBU (TIA) MBEYA KUANZISHA KOZI NYINGINE ZA SHAHADA YA MASOKO
Kikosi cha brasband cha Magereza kikiongoza Maandamao kuelekea uwanjani kwenye mahafali hayo ya Kumi na Tatu ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na ya Tatu kwa kampasi ya Mbeya .
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) latoa kibali kwa Taasisi ya Uhasibu (TIA) Mbeya kuanzisha kozi nyingine za shahada ya masoko
11 years ago
Michuzi28 Jul
MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM

11 years ago
Michuzi10 Sep
11 years ago
Dewji Blog14 Aug
Taasisi ya Watumishi Housing kutumia bilioni 400 kujenga nyumba za watumishi wa serikali
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Watumishi Housing Company, Dkt. Fred Msemwa akitoa mada kuhusu mkopo wa ujenzi wa nyumba bora za kisasa kwa watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa warsha ya siku moja iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari Jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Agosti 14, 2014.
Na Ismail Ngayonga, MAELEZO-Dar es Salaam.
TAASISI ya Watumishi Housing Company imetenga kiasi cha Tsh. Bilioni 400 kwa ajili ya ujenzi za watumishi wa...
5 years ago
MichuziDKT MWANJELWA AWATAKA WATUMISHI HOUSE KUWEKA KIPAUMBELE WATUMISHI WA UMMA KUNUNUA NYUMBA ZA TAASISI HIYO
Amesema licha kutoa kipaumbele Kwa watumishi wa umma lakini pia asilimia nyingine lazima iende Kwa watumishi ambao wapo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Dkt Mwanjelwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo mara baada ya kutembelea moja ya miradi...
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Mwigulu: Wananiita Nyerere

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, ameibuka na mpya baada ya kujifananisha kwamba yeye ni sawa na Baba wa Taifa, hayati Mwalimu Julius Nyerere na aliyekuwa Waziri Mkuu, hayati Edward Sokoine, kwa madai ya kuwa na misimamo isiyoyumba katika masuala yenye maslahi kwa taifa.
Mwigulu, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, aliyasema hayo juzi wakati akizungumza katika kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na kituo cha...
9 years ago
MillardAyo04 Jan
Panga la Mwigulu Nchemba limewakuta watumishi wengine Mkoa wa Pwani leo !!
Jumamosi ilikuwa na stori yenye kichwa cha habari cha ziara za Mawaziri watatu wa Rais Magufuli, hapo alikuwepo Mwigulu Nchemba, Dk. Hamisi Kigwangalla na George Simbachawene walifanya ziara katika soko la Vingunguti na kufanya maamuzi ya kusimamisha baadhi ya watumishi kwa tuhuma za ubadhirifu. Ziara nyingine imeendelea leo mkoa wa Pwani, Waziri Mwigulu Nchemba kafanya maamuzi […]
The post Panga la Mwigulu Nchemba limewakuta watumishi wengine Mkoa wa Pwani leo !! appeared first on...