Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Panga la Mwigulu Nchemba limewakuta watumishi wengine Mkoa wa Pwani leo !!

Jumamosi ilikuwa na stori yenye kichwa cha habari cha ziara za Mawaziri watatu wa Rais Magufuli, hapo alikuwepo Mwigulu Nchemba, Dk. Hamisi Kigwangalla na George Simbachawene walifanya ziara katika soko la Vingunguti na kufanya maamuzi ya kusimamisha baadhi ya watumishi kwa tuhuma za ubadhirifu. Ziara nyingine imeendelea leo mkoa wa Pwani, Waziri Mwigulu Nchemba kafanya maamuzi […]

The post Panga la Mwigulu Nchemba limewakuta watumishi wengine Mkoa wa Pwani leo !! appeared first on...

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ATIKISA MKOA WA MOROGORO

Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita Ndugu.Josephat Msukuma akizungumza na wananchi wa Morogoro Mjini wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akiwasalimia wananchi wa Morogoro Mjini hii leo.Comrade Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Morogoro Mjini,Mwigulu amesisitiza wananchi kusimamia Vizuri Mali za Umma hasa kwa Viongozi waliopewa dhamana,Pia amesisitiza wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kupiga kura.Mkutano Ukiendelea Morogoro Mjini.Kwa picha zaidi BOFYA...

 

9 years ago

Vijimambo

MOTO WA MWIGULU NCHEMBA WATUA MKOA WA MARA,APIGA MAJIMBO 5 KWA SIKU.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza akimnadi Mgombea wa Jimbo la Bunda Vijini.Mwigulu akizungumza na wanaserengeti amewaomba"Naomba mmchague Magufuli kwasababu tunazo sababu nyingi za kuhakikisha anakuwa Rais wa Tanzania,Magufuli yeye rafiki yake ni Kazi tu,Hivyo wananchi wamchague Mgombea Urais mwenye kusimamia kazi na shughuli za Maendeleo.Wanaserengeti wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi-Serengeti.
Hisia za Maandishi kwa Magufuli.Mwigulu Nchemba akisalimiana na
Wananchi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ATIKISA MKOA WA MOROGORO WOTE KWA SIKU MOJA

Mh:Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Gairo hii leo,Amesisitiza kuwatatulia swala la maji ambalo bajeti yake imeshaanza kufanyiwa kazi.Naibu katibu Mkuu akizungumza na wananchi wa Mvomero hii leo,Tatizo la Sukari ndio AGENDA kuu hapa Mvomero,Wananchi wanasumbuliwa na tatizo la soko la sukari na Migogoro ya Mashamba.Mwigulu Nchemba ameahidi kuchukua hatua kuhakikisha tatizo linapata dawa ya Kudumu.Mh:Mwigulu Nchemba akisalimiana na Mbunge wa Kilosa MH:MKulo hii leo mara baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ADHAMINIWA MKOA WA NJOMBE,RUVUMA NA IRINGA,WANACCM WAENDELEA KUONESHA IMANI NAYE

Mwigulu Nchemba akizungumza na WanaCCM waliojitokeza kumdhamini Mkoani Iringa.Kubwa ameendelea kusisitiza kuwa awamu ya tano ni awamu ya Kufanya mabadiliko kwa Vitendo kwenye Utendaji kazi,Kukomesha mazoea kwenye Utumishi wa Umma.Mwigulu Nchemba akisaini kitabu kuthibitisha kuwa amefika Mkoani Iringa kwaajili ya kutafuta wadhamini.Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wadhamini wake kuelekea Safari ya Urais Mwaka 2015 kuwania kuteuliwa ndani ya CCM awezekupeperusha Bendera ya Chama.Mwigulu Nchemba...

 

9 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA AENDELEA KUCHANJA MBUGA,AMALIZA KAZI MKOA WA SINGIDA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KWA KISHINDO

Chopa ya Chama Cha Mapinduzi ikiongozwa na Mjumbe wa timu ya Ushindi ya Chama cha Mapinduzi ikipasua ANGA la Mkoa wa Singida hii leo wakati wa kampeni kwenye Majimbo mbalimbali.Mapema leo,Mwigulu Nchemba akimnadi Mbunge mtarajiwa wa Jimbo la Igunga Ndg.Dalalary Kamfumu.Mwigulu ametumia nafasi hiyo kuwaasa wananchi wa Igunga kuichagua CCM kwenye nafasi zote,Swala la Mabadiliko halinauhusiano na vyama vya siasa,Mabadiliko ni shughuli za Maendeleo,Sehemu ukiona hakuna Umeme pakawekwa Umeme hayo...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIVYOWALIZA ACT WILAYA YA BUSEGA HII LEO


Naibu katibu Mkuu akisalimiana na watoto waliofika Kumpokea Kijiji cha Nyamikoma-Busega.Comrade Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha nyamikoma-Busega hii leo.Mwenyekiti wa Mkoa wa SIMIYU wa CCM akiwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT wilaya ya Busega.Mwigulu Nchemba akipokea kadi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT Wilaya ya Busega ambaye ameamua kuhamia CCM kwa hiari yake.Wakati huu tunapoelekea kuwa Nchi ya Kipato cha kati "Kupanga ni Kuchagua,tuanze sasa kuchagua...

 

10 years ago

Vijimambo

MWIGULU NCHEMBA ALIPOWASILI HAIDOM HII LEO KUZUNGUMZA NA WATANZANIA


Naibu katibu Mkuu alipowasili Haidom hii leo kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za MitaaMwigulu Nchemba akihutubia wananchi wa HAIDOM mkoani Manyara hi leo.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza Wananchi kuwa Uchaguzi wa serikali za Mitaa sio Mashindano ya Vyama.NI uchaguzi wa kuchukua hatua za Mbadiriko kwa Vitendo kwa kuwaondoa wale wasio faa na kusimamisha wagombe wenye tija kwa Wananchi wa Tanzania.Na wagombe hao ni wale wanaotokana na chama cha Mapinduzi.Mamia ya Wananchi wakisikiliza...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MWIGULU NCHEMBA LIVE STAR TV HII LEO TAR.06.12.2014

Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara,Comrade Mwigulu Nchemba.Hii leo ataunguruma Geita Mjini katika Mkutano wa hadhara atakapo zungumza na Watanzania moja kwa moja Kupitia Star Tv Majira ya Saa 9:00 Alasiri hii leo.
Watanzania wote karibuni mfatilie Matangazo haya ya Moja kwa Moja.

 

11 years ago

Michuzi

MJUMBE MWIGULU NCHEMBA ALIPOCHANGIA KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Mhe. Mwigulu Nchemba alivyochangia katika mjadala wa kupigwa  kura za siri ama kura za wazi katika Bunge Maalum la katiba mjini Dodoma leo, na kuleta mtafaruku mkubwa miongoni mwa wajumbe. Hatimaye iibidi aombe radhi na kufuta usemi wake baada ya kutakiwa kufanya hivyo na Makamu Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe Samia Suluhu Hassan.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani